Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Tangu nipo mdogo (form one) nilikua nahang kwenye ofisi ya kuburn cd za muziki. Enzi hizo hamna kudownload nyimbo anakupa DJ na wateja lazima waje kuburn cd audio (siyo mp3) ni 2500.

Kutokana na hiyo ishu niliyokua naifanya wasanii wa kwanza kukutana nao ni kikosi cha mizinga walikua wanawatafuta wanyonyaji wa kazi zao. Wakanikamata huku tunapiga stori na bwana kalapina ngoma mpaka O'bay.

Wasanii wengine waliokuja kibandani ni Amini, jamaa ni mtu wa stori ila anajiona ana potential so ana ego kimtindo.

Fred wa makomando miyeyusho huyu jamaa anamvimbia kila mtu.

Cyril kamikaze enzi hizo hajaanza nyanyua chuma na ngoma inayotamba ni Tupo juu.

Ali Nipishe, aliletwa na mshkaji ambaye kwenye ile ngoma ya My anaonekana akiwa na pull ova ya drafti. Alikua kimya na stori kwa mbali.

Sister P alikuja kutoa kopi cd za nyimbo zake. Muongeaji yuko peace.

Crazy GK mtu poa hana makuu.

Bahat Bukuku na Msama walikua wanamkamata kila mwenye albam ya Dunia haina huruma.

Kama Maimartha Jesse mnamhesabia msanii na yeye alishakuja.

Na wasanii wa kundi wa Khanga Moko laki si pesa nishakutana nao pale kibandani. Miyeyusho kila utachoongea kinabinuliwa ili kimaanishe ishu ya ngono.

Davista, alikuja kutaka tumbanie ngoma yake aliyoimba na Mo Music ili aipeleke EATV.

Wengine wa Singeli (Hawa ndiyo wa miaka hii)

Anyway Tanga, Korogwe Manundu ni sehemu gani kuna pisi kali? Naona kila nilichoambiwa kuhusu Tanga ni uongo. Hamna kazi kali wala nini popo wa hapa wanazurura mpaka mchana.

Msaada
upo tanga sehemu gani njoo inbobo
 
Kwenye nchi ambapo wengi ni wasanii, kuwa msanii ni big deal wakati si chochote wala lolote bali nafasi katika jamii. Kwanini hamuulizii wazibua vyoo na makuli ambao bila wao kuwapo maisha yangesimama? Yaani hata madaktari hamuwashobokei isipokuwa hawa wasanii wenu uchwara na wachafuzi wa maadili ya kitanzania.
 
Hili ni jukwaa la celebrities, wazibua vyoo ni ma-celebrities? Kama roho imekuuma sana wafungulie uzi ila hatutaki kuuona kwenye jukwaa hili.
 
Ma star wa bongo movie wakubwa wananitambua, na wanamziki wengi sana. Nilianza ku interact na kiwanda cha sanaa way back since 2006 na bongo movie hivyo nilikuwa rafiki wa legendary mwenyewe (R.I.P) na wenzake, kama alivyoainisha The Boss wengi wamechoka na wanapenda offer, waje uwanunulie msosi , bia na wakiondoka uwakatie chochote kitu...wengi wameanza kujanjaruka hivi karibuni

Ilitokea nikamuacha shule Godzilla (mwanangu wa damu kama alivyosema dada hapo juu alikuwa anapenda ku hangout Belinda), Ammy Nando (dogo wa big brother), na cyril kamikaze pamoja na madogo flani well spoiled na maisha ya wazazi wao ambao vifo vyao vya ajali vilikuwa maarufu hapa dar...wasanii wachache waliopitia kwa Abba (producer) country boy, babuu wa kitaa, gift (gigy)nina mchango mkubwa kwao kuanzia kuwapa bia mpaka kufadhili vichupa, niliachana nao baada ya kuona haina faida kuwa ma chawa kibao ambao hawana mchongo zaidi ya kuomba hela za k-vant

Sawa sawa mzee wa NEEMA TRUST
 
Kwenye nchi ambapo wengi ni wasanii, kuwa msanii ni big deal wakati si chochote wala lolote bali nafasi katika jamii. Kwanini hamuulizii wazibua vyoo na makuli ambao bila wao kuwapo maisha yangesimama? Yaani hata madaktari hamuwashobokei isipokuwa hawa wasanii wenu uchwara na wachafuzi wa maadili ya kitanzania.
Unateseka na nini?
 
Tangu nipo mdogo (form one) nilikua nahang kwenye ofisi ya kuburn cd za muziki. Enzi hizo hamna kudownload nyimbo anakupa DJ na wateja lazima waje kuburn cd audio (siyo mp3) ni 2500.

Kutokana na hiyo ishu niliyokua naifanya wasanii wa kwanza kukutana nao ni kikosi cha mizinga walikua wanawatafuta wanyonyaji wa kazi zao. Wakanikamata huku tunapiga stori na bwana kalapina ngoma mpaka O'bay.

Wasanii wengine waliokuja kibandani ni Amini, jamaa ni mtu wa stori ila anajiona ana potential so ana ego kimtindo.

Fred wa makomando miyeyusho huyu jamaa anamvimbia kila mtu.

Cyril kamikaze enzi hizo hajaanza nyanyua chuma na ngoma inayotamba ni Tupo juu.

Ali Nipishe, aliletwa na mshkaji ambaye kwenye ile ngoma ya My anaonekana akiwa na pull ova ya drafti. Alikua kimya na stori kwa mbali.

Sister P alikuja kutoa kopi cd za nyimbo zake. Muongeaji yuko peace.

Crazy GK mtu poa hana makuu.

Bahat Bukuku na Msama walikua wanamkamata kila mwenye albam ya Dunia haina huruma.

Kama Maimartha Jesse mnamhesabia msanii na yeye alishakuja.

Na wasanii wa kundi wa Khanga Moko laki si pesa nishakutana nao pale kibandani. Miyeyusho kila utachoongea kinabinuliwa ili kimaanishe ishu ya ngono.

Davista, alikuja kutaka tumbanie ngoma yake aliyoimba na Mo Music ili aipeleke EATV.

Wengine wa Singeli (Hawa ndiyo wa miaka hii)

Anyway Tanga, Korogwe Manundu ni sehemu gani kuna pisi kali? Naona kila nilichoambiwa kuhusu Tanga ni uongo. Hamna kazi kali wala nini popo wa hapa wanazurura mpaka mchana.

Msaada
We utakuwa wa kinondoni wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom