Mtajijua UKIWA UKAWA!View attachment 358614 Hii ni katuni ya Msanii Gado...Ambayo bila shaka aliyemchora anajulikana
Thubutu!! Itaishia humuhumu!!Hivi hii sheria ya makosa ya mtandaoni inafanya kazi hadi nje ya mipaka ya TZ kweli..?
Sidhani. Kama ni hivyo wengi watakuwa wahanga.Hivi hii sheria ya makosa ya mtandaoni inafanya kazi hadi nje ya mipaka ya TZ kweli..?
Huyu naye shida tupu! halafu jamaa ni MCC fulani hivi angalia cheni aliyoivaa...ya kidemu kabisa!
Hivi hii sheria ya makosa ya mtandaoni inafanya kazi hadi nje ya mipaka ya TZ kweli..?
Mwisho pale Kipawa....Airport! Ukifunga mlango wa ndege za international....hakuna huo upuuzi wetu nje!Sheria yetu mwisho chalinze....teh teh
na bado mtakoma mwaka huu
Mambo ya kuvaa cheni msiseme sana kwani kuna wazee wanapiga hiyo kitu. msiende huko tafadhali!!!Huyu naye shida tupu! halafu jamaa ni MCC fulani hivi angalia cheni aliyoivaa...ya kidemu kabisa!