Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..
 
lol.......................ndio maana warembo wanapangwa hapo mmh.
ivyo vyake au kaweka pozy tuu hapo.
 
walikuepo ...na leo hawapo tena...hata ww itafikia zamu yake
 
kbs itakuwa ivyo ivyo......................visanii vya bongo kupenda kujikweza 2, wakizeeka hata pa kulala ishuu mmh.
hajakodi huyu, aliomba 2 kupiga pic hapo humuon .
hahahahah, ujue naye yupo humu ngoja aje, uone.
 
Gari yake au kakodi kufanyia shooting.
OTIS
 
Jamani acheni wivu kwani kuwa na namba za muda Texas ndio haliwezi kuwa lake na kwa msiojua SL500 si chini ya US$ 50,000
 
El Toro samahani kwa hili lakini kuna baadhi ya information ukiwa unazileta inabidi uwe unazifanyia uchunguzi kwanza. Wabongo tunapenda kujikweza sana hiyo gari siyo ya Diamond bali hiyo gari na hiyo nyumba inayoonekana alipewa kwa ajili ya kufanyia shooting tu ya wimbo wake wa Mawazo ambapo producer wa video hiyo ambaye anaitwa Adam wa Visual Lab ndio alisaidia upatikanaji wa location tusiwe tunapenda kudanganya kwanini tusiishi maisha yetu ya kawaida tu.
 
Hii picha ni upuuzi mtupu! Tuletee na picha ya nyumba anayoishi.
 
Back
Top Bottom