Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

Nani kasema kuwa na gari ni maendeleo? Hatahivyo, ni vizuri mtu kuishi maisha yake na sio ya watu au mtu mwingine.
 
Nani kasema kuwa na gari ni maendeleo? Hatahivyo, ni vizuri mtu kuishi maisha yake na sio ya watu au mtu mwingine.

Hapo ndio wabongo mnaponichosha kwani kuwa na gari sio maendeleo? na je maendeleo ni nini ka ufahamu wako finyu???
 
Nilisoma katika gazeti amewekwa ndani miezi sita. What happenned?
Yap, Hukumu ilikuwa Jela miezi 6 au kulipa faini ya elfu 50, Yeye alilipa 50 Thou and he is a Freeman.
 
diamond_mawzo.jpg

Nani kasema wasanii wa bongo hawana maendeleo, check mchuma mpya wa DIAMOND..

Hope alikuwa anatengeneza wimbo...maana hapo umesema gari vipi huo mjengo nyuma nao wakwake?
 
Sio bongo hapo! Kapiga picha kuuza sura facebook.
 
Muulizeni Pro j ile zawadi ya nyumba Bima na Benz zipo wap?
 
Hahaha...wabongo hatupendi maendeleo ya wenzetu kabisa. Kwani kuwa na benzi kama hiyo ni big deal?
 
Jamani hebu mpumzisheni huyu kaka,
kuna aliyemsikia akisema hivyo vitu ni vya kwake?
Kama wewe hupendi majungu na watu kukusema bila sababu usifanye hivyo kwa mwingine.
Kwa nini mtu uweke picha ya mtu halafu unaipa maneno yako ili watu wamseme?

Mbona hapo anafanya video shoot kosa lake ni nini na wakati yeye ni muimbaji?
 
Hii picha ni upuuzi mtupu! Tuletee na picha ya nyumba anayoishi.

Kuna kipindi magazeti ya El Toro yalionesha kuwa jamaa ana bonge la mansion hapa mjini, ukweli, jumba hilo picha yake ilinyofolewa sehemu na ikatengenezwa kama ya hilo gari hapo juu
 
El Toro samahani kwa hili lakini kuna baadhi ya information ukiwa unazileta inabidi uwe unazifanyia uchunguzi kwanza. Wabongo tunapenda kujikweza sana hiyo gari siyo ya Diamond bali hiyo gari na hiyo nyumba inayoonekana alipewa kwa ajili ya kufanyia shooting tu ya wimbo wake wa Mawazo ambapo producer wa video hiyo ambaye anaitwa Adam wa Visual Lab ndio alisaidia upatikanaji wa location tusiwe tunapenda kudanganya kwanini tusiishi maisha yetu ya kawaida tu.

elt oro ndo mtoaj mkubwa wa hbr abt diam0nd,asante mdau kwa ufafanuzi,wadau wangejua yake
 
Back
Top Bottom