Msanii Diamond afuta post zote za CCM

Msanii Diamond afuta post zote za CCM

Kaondoa hadi post ya kumtakia heri Samia Suluhu kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.

Ndo kishawasaliti au kanusa kitu mbele?
Amechelewa ,tayari jina lake lipo kwenye orodha ,ni swala la muda ,atafikiwa tu.

Hili Taifa tunataka tukidhibiti kiwango cha uchawa .

Haki na usawa ndiyo ziwe nguzo zetu za msingi .

TUnapaswa kuudhibiti uchawa kwa moyo wetu wote .
 
Back
Top Bottom