Msamiati wa 'Mabeberu' umefia wapi?

Nchi yetu ni ya kijinga sn, huwa tunafuata mtawala anapenda nini na siyo wananchi wanataka nini
 
Ndio wameshika nchi kwa sasa. Uliona wapi kahaba anamiliki bar kisha makahaba wakafukuzwa eneo la bar?
 
Mkuu hivi unaweza kuukata mkono unaokulisha?
 
Aliyekufa ni mmoja tu , wengine wote waliotukana Mabeberu bado wapo hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…