Bila kuisahau coronaBaada ya miaka 60 ya Uhuru bado kuna viongozi wanatumia propaganda rahisi za ubeberu. Huku wakiwakubalia mikataba mibovu . Awamu ya tano ilikuwa awamu ya giza. Mungu ni fundi na anaipenda nchi hii
Awamu ya 5 kulikuwa kipindi cha kuzika sifa za Tanzania.Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha umma
PIGO kubwa sana kwa matagaUmezungushiwa mabati huo msamiati!
Tuishukuru sana coronaYanafanana
... and that's the essence of non-aligned movement iliyozaliwa baada ya vision kali za ma-genious; WE NEITHER FACE EAST NOR WEST. WE FACE FORWARD. Zaidi ya wawinda teuzi kulikuwa na nani awami ya tano?Mwalimu hakuwa anashindana na "mabeberu" kwa namna ile ya mwenda zake na ndio maana alikuwa Rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wa Magharibi na Mashariki pia.
Viongozi kama Kennedy, Carter, Yule wa Ujerumani, kule China ya Mao na Cho en Lai, Urusi nk walimheshimu na kumsikiliza akiongea jambo. Na lenye ukweli aliwasemanga hadharani sio kwa kificho wala woga.
Mtoa mada anauliza, hilo neno limefia wapi siku hizi?Mabeberu ni msamiati ulioibuka miaka ya kusaka uhuru na sio awamu ya tano.acha kupotosha umma
Na hata kuzaliwa kwa South South Commission ambayo Mwalimu alikuja kuwa Mwenyekiti mwenza na kuzunguka duniani kote (akiwa sio Rais tena) kulitokana na mahusiano ya Tanzania na ulimwengu huku tukiwa na viongozi wenye uwezo wa kidplomasia ya kimataifa.... and that's the essence of non-aligned movement iliyozaliwa baada ya vision kali za ma-genious; WE NEITHER FACE EAST NOR WEST. WE FACE FORWARD. Zaidi ya wawinda teuzi kulikuwa na nani awami ya tano?
Duhh huyu mtoto na hiki kiburi na dharau .nani alikuwa nyuma yake !!?? Hakika Mungu fundi ,Ni mengi hayapo tenaView attachment 1785348
Mungu fundi halafu mwema sana..!Duhh huyu mtoto na hiki kiburi na dharau .nani alikuwa nyuma yake !!?? Hakika Mungu fundi ,
Hata alichoulizwa hajakielewa. Na hawa ndio wamekalia ofisi za umma; ndio makada waliopewa teuzi za kumwaga. Kweli mama aangalie sifa badala ya ukada.Mtoa mada anauliza, hilo neno limefia wapi siku hizi?
Mpumbavu akila akavimbiwa humkufuru hadi Mungu.Duhh huyu mtoto na hiki kiburi na dharau .nani alikuwa nyuma yake !!?? Hakika Mungu fundi ,
Uwanja wa JKT Ruvu.Kuanzia Leo chattle iitwe mabatini!
pale ni phase 1Uwanja wa JKT Ruvu.
Je msamiati wa nchi yetu ni TAJIRI unaendelea kusikika? Je mabeberu walikuwa wanafurahi kusikia kauli kuwa nchi yetu si maskini bali ni tajiri?