Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,429
haya bhanaaYani wew unaniachaga hoi kweli ngoja nikufollowNdio maana mara zote mi huwa napenda vi portable, kwanza huwa najipimia mwanzo mwisho misambwanda sio dili.
Hebu piga hata mahesabu madogo, je kama gesti itawaka moto msambwanda utaweza kuubeba kukimbia nao?? Lakini kiportable unakiweka begani, ndukiii![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums