Huyu shangingi kweli!!
Mkuu umenikumbusha ile mimama inaviziaga vijana wadogo wadogo.
Nimecheka balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mbona mzee...wee naye kwa kula mama zako. Hapo ushamaliza kumtafuna naona anapaka lipstic yake kisha achomoe simubkwenye charger hapo mezani arudishe makombo ya halwaa kwa mmewe.
Mi natumia bangi tu

