Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

Aisee naomba nikusaidie kitu. Ukishamaliza kiandika thread yako kabla hujaituma fanya kuipitia kidogo utoe yale makosa madogo madogo kama dada FF alivyotoa hapo juu
 
Nakushauri ujiunge na masomo ya muda mfupi, kajifunze kiswahili fasaha cha kuongea na kuandika


Na hongera kwa kutafuta umaarufu kwa nguvu Zote
 
SASA BESTITO MBONA UMEONGEA SANA KWANI KUNA WATU AMBAO NI ADUI ZAKO
HUMU MJENGONI BEST? POLE MWAYA TUMESHAKUSAMEHE HALAFU KISWAHILI KIREKEBISHE KIDOGO

YULE Heaven on Earth NI SISTA YAKO AU NI NANI MAANA NAONA MNAFANANA MAJINA YENU.
Ni dkika chache kabla haijatimia sa 9 za usiku, ikiwa ni baada ya kukamilisha kazi zangu (coz mojawapo ya kazi zangu ni blogger na kumanage social networks, ni mitandao inayohitaji upadates za mala kwa mala, nisisitize tu kuwa ninaipenda sana sana kazi kazi, nafanya kazi kwa bidii na huwa nina mda mfupi sana wa kupumzika or kulala) so kabla sijafunga kitendea kazi changu (laptop) ninatafakari kuhusu maisha yangu,nilikotoka, nilipo na ninakoenda.

Nafakari jinsi ninavyoishi na watu,na kiukweli HOD wanavyomchukulia watu wa JF siyo HOD wa hapa mtaani,ni mtu anaependwa na kila mtu, ni mtu anayezungumza kwa amani na kila mtu, ni mtu asiye na visasi wala kuweka chuki rohonni mtiifu kwa kila mtu, pengine ndiyo sababu inayomfanya atengeneze marafiki wapya kila siku japo TITLE nayo inawezakuwa inachangia. Na zaidi HOD ni mtu asiyejari sana kuhusu watu wanasema nn juu yake na zaidi ni mvumilivu sanana ndio sababu yupo alipo leo..

Ntafakari kuhusu idadi ya watu nisio na maelewano nao,idadi naona ni ndogo,kama nilivyosema me si mtu wa visasi,mwepesi kuomba radhi ,kusamehe na kusahau wanaosalia ni wale tu wenye chuki zao zisizo na sbabu ya msingi,ninjamboa la kawaida ni watu ambao tupo nao popote ,wanaifanya dunia izunguke vizuri.

Lkini pamoja na hayo mi ni binadamu tu dhaifu,ninaeweza kukosea mda wowote ninaeweza kumkosea mtu yeyote, na pengine unaweza mkosea mtu kihisia si tu kwa kitendo, ninapenda sana kuishi kwa amani, ndiyo manan ani mtu nisiejari nani anazungumza nini. Nafahamu umhimu wa msamaha, kusamehe na kusamehewa, hivyo basi ninachukua nafasi hii kwa ndugu zangu, rafiki zangu, fans wangu (i mean wanopenda kufuatilia thread zangu,na wanaonipenda tu pengine kwa kaz zangu)na wengine wote, kwa dhati kabisa naombeni kama kuna mtu nimewahi mkwaza kwa vvyovyote, aidha kwa matamshi yangu ama vyoyote,ANISAMEHE, mimi nishasamehe kila mtu hata kabla sisjaanza kuandika ninachokiandika.

Kwa wale ndugu zangu ambao mim kwao sina jema, wale wenye chuki tuu binafsi pasipo sababu za msingi wasijari,sina tatizo nao, na wala siwachukii, kwa sababu sina reason ya kuwachukiza nina imani siku moja watakuwa by my side na kuwa rafiki wema.

Ahsanteni sana ,usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahhahahahhahahahhahahahhaahahahahahahahahhahaahhahahahahhahahahhahahahhahahhahahahhahaha nmweeeeeeeeeeeeeeeeeeee we star wangu mi na evelyne salt una mbweeeeeembwe!
kha!
 
Last edited by a moderator:
kuna siku nilikwambia una ombwe kubwa sana kweny nafsi yako!
ukiangaia hii thread kwa hraka we unaweza kusema umeandika tu
ila kipo kitu ulikosa kwnye makuzi yako!
athari zake zinajidhihirisha sasa!
 
keyboard yake ''r'' imeng`oka..
hp-pavillion-key-repair-0025-500x427.jpg

Ha!ha!ha!ha!haa
 
kichwa cha uzi na yaliyomo tofauti!!! ulitakiwa useme unaomba msamaha,jinsi title ilivyo ni kama unatoa msamaha kwa wana jf waliokuomba msamaha.
 
Evelyn tumesamewa lakin mi sijawahi kukuchukia we HOD wala hatuwahi kukwazana ni majibizano tu ya kawaida ya humu jamvin
 
mimi ninavyoona hakuna anaekuchukia @JF ni sio wanafki kabisaaaaaaa penye ukweli watasema ukweli na penye uongo hawataficha na tatizo lako hupendi kuambiwa ukweli unaona kama unaonewa siku zote ukweli unauma sana
usiwe mtu wa jazba jaribu kurekebisha panaporekebishika
jaribu kuangalia umejikwaa wapi ili ujirekebishe otherwise utaona unachukiwa kumbe sivyo

hUJAELEWA NILICHOKIZUNGUMZIA,UMEONGEA VITU VINGINE,MFANO NI UKWELI UPI MTU ANAOKWAMBIA WA KUPONDA AMA KUONESHA CHUKI NA KAZ YAKO??
 
sasa bestito mbona umeongea sana kwani kuna watu ambao ni adui zako
humu mjengoni best? Pole mwaya tumeshakusamehe halafu kiswahili kirekebishe kidogo

yule heaven on earth ni sista yako au ni nani maana naona mnafanana majina yenu.
umekoment pasipo kuelewa nilichoandika,sijasema kuna watu nimekosana nao humu
 
Last edited by a moderator:
kuna siku nilikwambia una ombwe kubwa sana kweny nafsi yako!
Ukiangaia hii thread kwa hraka we unaweza kusema umeandika tu
ila kipo kitu ulikosa kwnye makuzi yako!
Athari zake zinajidhihirisha sasa!

asante kwa kuchangia,nimawazo yako ,ni staha hiyo kumwambia mtu kakosa kitu kwenye makuzi yake kama si dharau
 
Ahsante kwa kunisamehe
mi pia nimekusamehe juzi ulidanganya unaitwa Andrea wakati sio kweli nishakusamehe
mi ni shabiki wako mkubwa nakukubali sana
sina chuki wala tatizo na wewe

HAPO TU NDIO MNAPONSHINDIA ,SO UNATAKA UNIBISHIE MPAKA JINA LANGU,AISEE !!! Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
hUJAELEWA NILICHOKIZUNGUMZIA,UMEONGEA VITU VINGINE,MFANO NI UKWELI UPI MTU ANAOKWAMBIA WA KUPONDA AMA KUONESHA CHUKI NA KAZ YAKO??

jaribu kuwa mtu mwenye fikra za kiutu uzima. Hivi nani akuonee chuki ww? Humu jamvin watu hatufamiani bali tuna juana kwa majina ya kubuni tu halafu ww unakuja na mimaneno yako ya uozo kuwa wanakuonea chuki kwa lipi hasa?? Unapenda kijipaisha ndio maana wanakupa za uso. Ndio matatizo ya kuwavalisha kanga watoto wa kiume
 
hUJAELEWA NILICHOKIZUNGUMZIA,UMEONGEA VITU VINGINE,MFANO NI UKWELI UPI MTU ANAOKWAMBIA WA KUPONDA AMA KUONESHA CHUKI NA KAZ YAKO??

kumbuka kila kazi ina changamoto zake na hao wanaokuponda huwa wanababeba ujumbe fulani kuhusiana na kazi yako muhimu kuangalia ujumbe na si kubishana nao
mtu hawezi kuponda bure lazima kunakuwa na udhaifu fulani ndo maana mtu anaponda
mtu anapokuponda jaribu kuangalia amebeba ujumbe gani ili uweze kuboresha kazi yako

usifikirie negative mimu sijawahi kujiingiza kwenye hiyo ligi nimeshauri tu
 
Back
Top Bottom