sir Ganto G
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 573
- 114
Hivi ombwe ni nini kweli??
..kwa kiingereza inaitwa 'vacuum'
Hivi ombwe ni nini kweli??
Faiza foxy+eiyer=?????????????
Hivi ombwe ni nini kweli??
Kwanza, namuomba Mwenyeezi Mungu asinikutanishe na hizo blog zako, ikiwa uandishi wenyewe ni namna hii! huko kutakuwa ni kuchefuchefu tu.
Pili, nimeshakerwa na nimechukia na namna unavyoandika jirekebishe, la sivyo sikusamehi daima.
Tatu, ungeshambuliwa kama anavyoshambuliwa FF humu JF ungeshajiua.
Nne, njoo u-edit hayo makosa yako.