Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

Msamaha wa dhati kutoka kwa Heaven On Desert

kuna siku nilikwambia una ombwe kubwa sana kweny nafsi yako!
ukiangaia hii thread kwa hraka we unaweza kusema umeandika tu
ila kipo kitu ulikosa kwnye makuzi yako!
athari zake zinajidhihirisha sasa!

Hivi ombwe ni nini kweli??
 
Kazi unayo mkuu yani me tu kwa kuangalia yapo mengi sana unayotakiwa kujirekebisha kiukweli kabsa.. chukua hatua kimya kimya.!!
 
Huyu kijana anamatatizo ya kujishuku. Nina wasi wasi na hatua nzima ya ukuaji na malezi yake
 
jaribu kuwa mtu mwenye fikra za kiutu uzima. Hivi nani akuonee chuki ww? Humu jamvin watu hatufamiani bali tuna juana kwa majina ya kubuni tu halafu ww unakuja na mimaneno yako ya uozo kuwa wanakuonea chuki kwa lipi hasa?? Unapenda kijipaisha ndio maana wanakupa za uso. Ndio matatizo ya kuwavalisha kanga watoto wa kiume

hahaah we kweli mgirik, unampa za uso tu huna uoga, nasikia nyie wagirik mna roho mbaya sana'
 
hahaah we kweli mgirik, unampa za uso tu huna uoga, nasikia nyie wagirik mna roho mbaya sana'

anaboa sana na ulimbuken wake. Hajui kuwa kuna mapedeshee humu ndan yametulia tu yanamwangalia anavyojikanyaga huku yanavuta wiyne taratiibuuu!
 
Aiseee!Nimegundua una matatizo ya kisaikolojia.
 
anaboa sana na ulimbuken wake. Hajui kuwa kuna mapedeshee humu ndan yametulia tu yanamwangalia anavyojikanyaga huku yanavuta wiyne taratiibuuu!

hili neno mkuu, kajitoa ufahamu huyu mtu, wengine wanamchora wanamuona lofa tu, then umenkumbusha habari ya wenye nazo na wenzangu akina pangu pakavu tia mchuzi tukiwa humu amani tu na usawa pia.
 
Mtoto unanini weye?
Kuna mtoto anaeweza kujiunga JF na kuuliza maswali ambayo kibibi kimeshindwa kujibu?
unajitia kimbele-mbele
Nawezaje kujitia?

Hebu nitake radhi we bibi
kama ushuzi wa ngomani.
Inaonekana ulikuwa maarufu sana kwa kuutoa huo ushuzi maana usingejua kuwa kuna ushuzi

Lakini kikubwa zaidi usingejua kuwa huo ushuzi una kimbelembele!
 
Kuna mtoto anaeweza kujiunga JF na kuuliza maswali ambayo kibibi kimeshindwa kujibu?

Nawezaje kujitia?

Hebu nitake radhi we bibi

Inaonekana ulikuwa maarufu sana kwa kuutoa huo ushuzi maana usingejua kuwa kuna ushuzi

Lakini kikubwa zaidi usingejua kuwa huo ushuzi una kimbelembele!

Kuna mtoto asiyeuliza maswali dunia hii? tunawajuwa kwa maswali yenu tu.
 
Kuna mtoto asiyeuliza maswali dunia hii? tunawajuwa kwa maswali yenu tu.

Nimekuuliza ni mtoto gani anaeweza kujiunga JF na kuuliza maswali ambayo kibibi kinashindwa kujibu wewe unaniuliza ni mtoto gani asieuliza maswali

Kwani mimi nimesema watoto hawaulizi maswali?
Umeshindwa kuelewa swali kabisa

Ni sawa na mtu anakuuliza maji ni nini halafu unamuambia kuwa hujaharisha leo

Unaonekana kituko kabisa bibi!!
 
Unazidi kujidhihirishia utoto wako.
 
dah yani ulivyojielezea ni kama bonge la celebrity hivi!!!
 
Ila we jamaa wewe!

Umekaa kibomu bomu mno!

Una erupt erupt tu kama volcano, si kwenye thread wala comments zako!
 
Back
Top Bottom