ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,418
- 126,549
Kuna vya kusamehe na kuna vya kwenda bumper to bumper...
Kisasi sio kizuri maana mara nyingi utalipa kisasi ila moyo hautakuwa na amani. Naamini mtu hutaka kulipa kisasi ili alipize ubaya na kubaki na amani, sasa kama amani haijapatikana, dhana nzima inakosa ithibati.
Kusamehe ni kuzuri ila tatizo ni kusamehe na kusahau, wengi hatuwezi, na kama hujasahau bado hujasamahe.
Mjukuu ukinikosea nitalipa kila baya ulilonitendea💪😅