Msamaha na Kisasi

Msamaha na Kisasi

Unaweza kusamehe ila unaweza pia usisahau,
Sometimes kutokusahau hua ina faida pia,our minds keep memories to help us stay safe,
It's very hard to forget,

So,unaweza kusamehe ila sio lazima kusahau,forgive without needing to forget,keeping the memory helps you set good rules and stay safe.
 
Unaweza kusamehe ila unaweza usisahau,
Sometimes kutokusahau hua ina faida pia,our minds keep memories to help us stay safe,
It's very hard to forget,

So,unaweza kusamehe ila sio lazima kusahau,forgive without needing to forget,keeping the memory helps you set good rules and stay safe.
Hakika kusamahe na kutosahau
Ni namna tu ya kujilinda
Ni kama vile ukisamehe sio lazima kuendeleza ukaribu na huyo mtu tena
 
Ni kama vile ukisamehe sio lazima kuendeleza ukaribu na huyo mtu tena
Ndio maana hua nawaambia vijana humu kua Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.
Mtu akisha kusaliti ndio imetoka hiyo,hua haina msamaha,just to protect your self-respect,kuzuwia ongoing emotion pain and allows you to walk away from broken trust,

So,kuna makosa mengine hayasameheki,you have to pay the price.
 
Twin dunia ya sasa haitaki mambo ya kufikirika ya kuwa aidha moto au baridi, kwa sababu uhalisia wa maisha unakulazimisha kuwa vuguvugu kimkakati ili ulinde amani yako ya moyo na mafanikio yako.

Ukichagua kuongozwa na hasira za haraka haraka na kuingia kichwa kichwa kwenye kulipa kisasi ambacho haujakifanyia tathmini ya kina, utaishia tu kujiongezea migogoro isiyo na lazima na kujisogeza kwenye matatizo makubwa yatakayokuja kuvuruga kabisa ramani na ustawi wa maisha yako ya mbeleni.

Lakini pia ukiamua kuwa baridi kwa kuwa mnyonge kupitiliza na kujilazimisha kusamehe kila aina ya ubaya unaofanyiwa, utakuwa unajisaliti mwenyewe kisaikolojia na utawafanya wale waliokuumiza waone kuwa hawana cha kupoteza, jambo linalowapa kiburi na uhuru kamili wa kuendelea kukuchezea akili na kukuona huna lolote.

Mfano hai ni pale mtu anapokuchongea kazini au kwenye biashara ili uanguke, mtu wa aina hii ukimlipa kisasi cha ugomvi wa hapo hapo utaishia kufukuzwa kazi au kupoteza wateja, na ukimsamehe kirahisi pia atatafuta mbinu nyingine ya kukupoteza kabisa. Kwenye hali kama hii hapa unapaswa kuwa vuguvugu maana yake nini? cheka naye kinafiki ili asijue unachowaza, lakini wewe unakuwa umejiweka mbali na yeye kisaikolojia, unajilinda, na badala ya kupoteza nguvu kulipa kisasi kibaya, tumia hasira hiyo uliyo nayo kupambana hadi uhakikishe mafanikio yako yanaongezeka zaidi ya ulivyokuwa kiasi kwamba kila akikuona ajisikie vibaya yeye mwenyewe bila wewe kurusha ngumi au tusi.

Huu ndio ukomavu mkubwa wa akili unaokulinda usiumie kihisia huku ukiendelea kusonga mbele na maisha yako.
 
Ndio maana hua nawaambia vijana humu kua Msaliti hua hasamehewi hata siku moja.
Mtu akisha kusaliti ndio imetoka hiyo,hua haina msamaha,just to protect your self-respect,kuzuwia ongoing emotion pain and allows you to walk away from broken trust,

So,kuna makosa mengine hayasameheki,you have to pay the price.
Naunga mkono hoja kicwa na miguu
 
Back
Top Bottom