Msala ambao siwezi usahau kamwe

Msala ambao siwezi usahau kamwe

Kuna mshkaji wangu mmoja tulikua tunapenda kuharbiana sana, tulikua na utan ambao mpk wa kuumiza , yule jamaa matatizo kama haya yakuumiza moyo atakuacheka kwanza hata kabala ya kukupa msaada au ushauri dah
Ndivyo ilivyo kwa marafiki walioshibana.
 
13/05/1999 Mbeya moja nikiwa form three Ivumwe secondary ni tarehe ambayo daima itasimama maishani mwangu kwa kumbukumbu ya kichapo takatifu toka kwa Baba mzazi wakati huo akiwa captain wa jeshi la wananchi Tz!
Picha ilikuwa hivi siku ya jana yake mshua alifika shule kuja kucheki mwenendo wangu maana aligundua ka nshaanza zingua aisee na kweli hiyo siku walitimua wanafunzi wasio maliza ada maana tulikuwa tunakaribia mitihani ya kufunga nusu muhula sasa me mshua alikuwa ananipa pesa mwenyewe ya ada na risiti napeleka sasa ilibaki elfu ishirini ya mwisho alipo nipa me nililipa elfu kumi elfu kumi nikamute nikiamini ntakuja tu rejesha hii ilikuwa baada ya kuzama kwenye dimbwi la mahaba na binti wa kidato cha pili me nikiwa cha tatu! Ukweli ile ten aisee ndiyo iliyo fanikisha kung’oa ile pisi maana si kwa raha alizofaidi kumbuka kipindi hicho buku teni tena kwa mwanafunzi! Sasa mshua alipokuwa akidai risiti nikawa nampiga sound! Sasa siku aliyo kuja shule me niliunga na walio tumuliwa ada nikaishia kwenda nzovwe (mtoni) nikisubiri tym ya kurudi home tu! Na kweli saa nane unusu watu hao nyumbani! Nikafika home mshua kanichangamkia akaniuliza mambo ya shule nikazidisha na hata ya uongo ila kumjaza kumbe fala ni mimi! Basi bwana kesho yake sasa tarehe tajwa hapo juu asubuhi mshua akanifanyia surprise ya kunisindikiza maana kawaida alikuwa akiniacha kituo kinaitwa mama JOHN ye anaendelea na safari yake kuelekea Job sasa hiyo siku akadai anipeleke hadi shule nikavimba bichwa mwenyewe! basi njiani nikawa navunja na kishoka na kuwatambishia wenzangu niliokuwa nawapita wakiwa kwa mguu! Tukafika shule vile muda wa assemble unakaribia wanafunzi kibao me nashuka kwa mbwembwee mwenyewe! Kama zari paap
Mwalimu wa Darasa mwl Kalinga naye huyu hapa basi me huyo kuweka begi darasani! soon kengele ya assemble mara kuna kilanja akaja niita naitwa staff! Kuingia tu paap mshua na jopo la walimu nikaanza kuhojiwa nakawa nabisha bisha mara mboki zikaanza toka kwa mlm mmoja (Arthur) dah ikabidi nipewe picha yoote nikawa mdogo! sasa ikawa niseme hela ya ada ipo wapi?! pasi kusumbua nkasema nilikula hapo sasa ndipo nilipofungulia mvua za njiti toka kwa kila mwalimu alokuwemo mule ndani kumbuka muda wote huo mshua anacheki picha tu! Basi bwana nikatolewa hadi assemble mbele ya wanafunzi nikawa case study na mwalimu akasema atachapwa na babaake hapa hapa aisee kumbuka hapo na ile pisi nilitotumbua nayo ile pesa ipo mstarini aisee akaitwa mshua ile anapewa fimbo ye aligoma ile natahamaki alinipa kibao, mara mtama me chini akaniminya na buti lake shingoni huku anavua mkanda nashindwa kuelezea kile kichapo mstarini! mbele walikuwa wanaanza mabinti wa form one walilia ka wanadundwa wao nakumbuka kuna Mwalimu aliitwa Mandesu Mungu amrehemu ndo alikuja kunipoka na kuninusuru lakini mda huo shati limejaa damu aisee! Mshua akawatangazia wanafunzi someni msimuige huyu akasepa! Wanafunzi wakaamliwa kuingia darasani me napelekwa laboratory kupewa first aid. baada ya kumaliza mwalimu akaniambia haya nenda darasani ila kimoyo moyo nikasema kama mbwai na iwe mbwai mda huo huo nikaunga kwa mjomba (eneo linaitwa soweto)na si nyumbani hata begi la shule sikuchukua nikamsimulia dah akampigia simu shemeji yake yaani dingi ikiwa kazini enzi hizo ttcl mjomba akamueleza kuwa nipo kwake jioni mshua akaja kwa mjomba soweto me nikagoma kwenda naye basi mjomba akamwambia dingi aende atanileta hapo kwa mbali nikasema nafuu kweli saa kumi na moja mjomba akiwa amemaliza kazi zake akawasha piki piki nikasema mjomba me siwezi kukaa kwenye piki piki matako yanauma sana ikabidi tuchukue dala dala nikiwa nimesimama! tukafika home akayajenga tena na mshua mara mzee akaniita kwa sauti ya beat nikajua nalisume tena kipigo?! Sikuitika zaidi ya neno Baba nimekosa akasema haya sawa mwanangu nekusamehe akiniita mjomba nikaenda Dingi akanipa elfu kumi na tano akasema hii ukalipe ada uliyokula hiyo elfu tano ni yako mara mjomba naye akanipa elfu mbili na mia tano Dah!
Kesho yake ilikuwa ijumaa shule sikuenda me naugulia maumivu bado ila jioni yake sasa nakuta mshua anarudi na baiskeri ya gia akasema mwanangu utulie sasa usome pamoja na maumivu nikajikuta namkimbatia mzee kwa kumshukuru j mosi jamaa yangu akaja nicheki na kuniletea begi nikamsimulia mkasa woote juma tatu nikiwa na usongo na baiskeri matata soo yoote nikaiweka pembeni na ile pisi nikaipa story yoote akasema kumbe babaako mtu safi tuu kimoyo moyo nisema shenzi! Dah maisha haya!
 
Hizi Mambo zimetukumba wengi ila Mimi nilifanikiwa kumcholopoa Mungu anisamehe ila kijasho kile hapana nilijifunza Jambo kubwa.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi.

Nilipita na mtoto wa Anko, alikua mzuri kiasi kwamba sikuweza jizuia, alikua mwoga sana hata kuongea na mwanaume, Nafasi pekee ilikua kwangu, Tulikua age moja, Tukafanya yetu tukamaliza, kumbe alikua kwenye Siku zake za hatari banaa, Mwezi unakata haoni siku zake.

Alikua shule ya boarding hizi za St Mary's, akatafuta simu akanipigia kupitia namba ya shule tunatumia kuwasiliana yeye alikua hajui kua ile namba ni official kwa ajili ya wanafunzi akajua ni ya mshkaji. Nikaitwa, ya kua kuna simu kutoka kwa ndugu yako, Baada ya mda akapiga, Nilipokea mbele ya Mwl nikijua hamna shida ile napokea tuu ananiambia nina ujauzito.

Paaap, nikajaaa wenge, Kukata siwezi, kuongea siwezi maana wapo hapo, nikabaki najizungusha tuu pale, nikaona isiwe tabu nikamwambia pole sanaa, nikakata simu, nikaandika ile namba kwenye kiganja nikampa simu mwenzangu mwingine nikakimbilia haraka kwa mpishi kuomba simu, nikampigia,

Kumbe Sasa yeye alipoona nimemwambia pole na nikakata simu, akajua sijaelewa, na anajua simu ninayo, akatuma msg " Mimi .........nina ujauzito". Kwahio msg imebaki kule, ile ananiambia tuu hivyo, kwa mara nyingine tena chaap nikakata simu ili nirudi kule kucheki kama hakijasanuka niombe fasta nifute msg, kufika mda wa kupokea simu umeisha wana wote washasepa Simu ishapelekwa kwa Sista.

Kurudi kwa mpishi angalau nimtafute tuongee vzr ananiambia namba za wanafunzi hua anafuta ukimaliza tuu, Daaadeki hapa sasa ndio tumbo la kuhara likaanza, kule shuleni kwao atatafutwa mwenye mimba(kila baada ya miezi kadhaa hua wanapimwa ujauzito), mimi,
huku shule kwetu taarifa ya kujaza mtoto wa watu, nyumbani Kuachilia mimba tuu, kutembea na mtoto wa anko ni mada nyingne.
Serikali nako kumpa mimba mwanafunzi.

Kila mazingira niliyokua nawaza nilikua naona kabisa sichomokii, hata kama shuleni wasipogundua mapema, Msg itaonekana, hata isipoonekana, akirudi home atajulikana. Nikiwaza Mawasiliano nimepoteza, Kumbuka wakati nakata simu kwa mpishi nilimwambia kua ile simu ni ya ofisi hivyo hawezi piga tena, na kwa mpishi kabla sijakata nilimwambia usipige nitakupigia hii simu si salama..., Kwahio suala la yeye kupiga hilo halipo tena, Na wakati naongea naye alikua anasikika kwa sauti ya kulia, nikiwaza hapo ndio nachoka.

Nikaongea na Mwl flani nikamwambia naomba unitaftie Mwl yoyote wa shule flani anitaftie ndugu yangu anasoma pale kuna jambo niongee naye, Nikampata, kabla ya yote nikamwambia nitumie namba ya haraka na salama mimi kumpata mda wowote, na mimi nikamtumia ya mdau flani hivi.

Basi tukajifanya tunasalimiana pale, nikakata simu akatuma namba kwenye msg na mimi nikatuma nikaandika kwenye Diary, nikasepa..
Baadae akanitafuta, nikamtuliza, inshu tunafanyaje, option ya kuitoa kila mtu anaogopa kumuanza mwenzake, inshu ikaja tumbambikie mtuu, mtihani ni hivii unambambikiaje mtuu nakati hata hamjawahi kutana(mimi ndiye niliyemla pekee).

Sasa kuna walimu walikua wanamsumbua sana pale, nikamwambia kama vipi mpe mmoja wapo. Kabla ya kufikia muafaka mawasiliano yakakata, baada ya siku hio hamna tena mazingira ya kuongea na simu maana kote mitihani ilikua inaanza, Inshu ikawa kule kwa sista, hapo nawaza ya kua washajua wanasubiri tuu siku tunafunga napewa vyangu(ndio kawaida mtu kutimuliwa siku ya kufunga).

Niliishi kwa mateso sijapata ona. Siku Tunamalizia mtihani mshkaji wangu akanifuata yaani simple tuu asijue nateseka akaniambia "we boya ile siku umenipa tuu simu ikaingia msg ya ujauzito nikaifuta jamaa umezidi" Nikasimama, nikamuuliza nilichosikia ni kweli au wenge?

Yule ndugu Sijawahi msahau mpaka leo hii. Baada ya ups and downs nyingi Sijui ni miujiza gani, dogo mwezi uliofuatia akapata siku zake. Kuna mambo mengine mengi ila hili ni mojawapo. Ilaa daah watu hatukomii, mtu unaapa kabisa kama hili likipita sitarudia, ila kesho kesho kutwa unarudia.

Share
Mambo kama haya ndo yanatukutuka wanaume tunakuja kuona solution n kukata kichwa cha mboo tuu,maana unapitia matatzo kisa kichwa cha chini
 
Pole Kwa misala ya Mimba inatokea sana haswa mnapoanza siku ya kwanza kulana tu huwa sielewi kwanini inatokea sana Kwa vijana
 
Ndio kusema ulirudia tena?
 
Miaka ya 2020+ nipo zangu town napiga mishe zangu mara napokea simu wazazi wanadai tumekutafutia mchumba mkoani inabidi uje kuoa, dah!! Mm sina mpango hata wa kuoa mishe zenyewe za kuunga unga.nikajaribu kupinga wazee wakakomaa dah!

Nikaona isiwe tabu nikapanda ndinga hadi mkoa kufika ndio siku hiyo ya harusi kumcheki bi harusi kumbe nimesoma nae primary,basi harusi imefanyika,kumbe bi harusi nae ana msela wake wakitambo kamuaidi ndoa halafu yupo vizuri kipato,basi msela kapangana na demu wake wanipe msala ndo ishindikane,bi harusi nae wazazi wake wamemkomalia kama mm kwa kua wazazi wanajuana,

Basi tumefunga ndoa tumerudi nyumbani mara anakuja bibi yake bi harusi ananiambia mtoto ni bikra kwaiyo inabidi upige mzigo ili kesho ifanyike sherehe ya kumpongenza binti kwa kujitunza mm nikasema poa tu,kufika usiku si ndio inabidi nipigie show,ile namsaula nifanye ya yangu binti anapinga makelele nyumba nzima watu wameamka.

Kumbe kuna wageni kutoka sehemu mbali mbali walikuja kwenye sherehe,ikabidi wazee waje kujua kulikoni!! Aisee sita sahau binti anasema namlazimisha kumuingilia kinyume na maumbile.mbele ya wazazi wangu,nitafanyaje? Nani ataniamini kumbuka nilikua nakataa kuoa?

Inaoneka nimefanya makusudi dah!! Kulivyo kucha nikapanda bus nikarudi town sikutoka ndani wiki mbili hakuna Alie kua anaamini,ndoa ikaishia hapo,maisha yakaendelea demu akaenda kwa jamaa yake.

Kufika huko sasa kila wakilala mara wasikie wanachapwa bakora mara mauza mauza binti si akarudi kwa wazazi wangu kuomba msamaha na kueleza ukweli wote ulivyokua kuwa alipangwa afenye vile ili ndoa iharibike, kazi ikawa mm wataniambiaje maana nimeshachafuka mbele ya umma,basi nilikaa zaidi ya miaka 15 ndio nikasamehe.

Hivi sasa tuwasiliana kama mtu na rafiki yake japo yy hajapata wa kumuoa mpaka Sasa hivi.
Hembu pitia tena ulichoandika hasa miaka, ulitakiwa uoe 2020+ halafu baada ya miaka 15 ndio ukaja kusamehe yaliyotokea!
 
Ulimroga au vp?
 
Katika Maisha tunapitia mengi sanaa ila kuna mengine yanakuweka katika wakati mgumu hadi kufikia hatua ya kuona Mtihani huo ndio Mkubwa na haitokuja kutokea mwingine kuuzidi.

Nilipita na mtoto wa Anko, alikua mzuri kiasi kwamba sikuweza jizuia, alikua mwoga sana hata kuongea na mwanaume, Nafasi pekee ilikua kwangu, Tulikua age moja, Tukafanya yetu tukamaliza, kumbe alikua kwenye Siku zake za hatari banaa, Mwezi unakata haoni siku zake.

Alikua shule ya boarding hizi za St Mary's, akatafuta simu akanipigia kupitia namba ya shule tunatumia kuwasiliana yeye alikua hajui kua ile namba ni official kwa ajili ya wanafunzi akajua ni ya mshkaji. Nikaitwa, ya kua kuna simu kutoka kwa ndugu yako, Baada ya mda akapiga, Nilipokea mbele ya Mwl nikijua hamna shida ile napokea tuu ananiambia nina ujauzito.

Paaap, nikajaaa wenge, Kukata siwezi, kuongea siwezi maana wapo hapo, nikabaki najizungusha tuu pale, nikaona isiwe tabu nikamwambia pole sanaa, nikakata simu, nikaandika ile namba kwenye kiganja nikampa simu mwenzangu mwingine nikakimbilia haraka kwa mpishi kuomba simu, nikampigia,

Kumbe Sasa yeye alipoona nimemwambia pole na nikakata simu, akajua sijaelewa, na anajua simu ninayo, akatuma msg " Mimi .........nina ujauzito". Kwahio msg imebaki kule, ile ananiambia tuu hivyo, kwa mara nyingine tena chaap nikakata simu ili nirudi kule kucheki kama hakijasanuka niombe fasta nifute msg, kufika mda wa kupokea simu umeisha wana wote washasepa Simu ishapelekwa kwa Sista.

Kurudi kwa mpishi angalau nimtafute tuongee vzr ananiambia namba za wanafunzi hua anafuta ukimaliza tuu, Daaadeki hapa sasa ndio tumbo la kuhara likaanza, kule shuleni kwao atatafutwa mwenye mimba(kila baada ya miezi kadhaa hua wanapimwa ujauzito), mimi,
huku shule kwetu taarifa ya kujaza mtoto wa watu, nyumbani Kuachilia mimba tuu, kutembea na mtoto wa anko ni mada nyingne.
Serikali nako kumpa mimba mwanafunzi.

Kila mazingira niliyokua nawaza nilikua naona kabisa sichomokii, hata kama shuleni wasipogundua mapema, Msg itaonekana, hata isipoonekana, akirudi home atajulikana. Nikiwaza Mawasiliano nimepoteza, Kumbuka wakati nakata simu kwa mpishi nilimwambia kua ile simu ni ya ofisi hivyo hawezi piga tena, na kwa mpishi kabla sijakata nilimwambia usipige nitakupigia hii simu si salama..., Kwahio suala la yeye kupiga hilo halipo tena, Na wakati naongea naye alikua anasikika kwa sauti ya kulia, nikiwaza hapo ndio nachoka.

Nikaongea na Mwl flani nikamwambia naomba unitaftie Mwl yoyote wa shule flani anitaftie ndugu yangu anasoma pale kuna jambo niongee naye, Nikampata, kabla ya yote nikamwambia nitumie namba ya haraka na salama mimi kumpata mda wowote, na mimi nikamtumia ya mdau flani hivi.

Basi tukajifanya tunasalimiana pale, nikakata simu akatuma namba kwenye msg na mimi nikatuma nikaandika kwenye Diary, nikasepa..
Baadae akanitafuta, nikamtuliza, inshu tunafanyaje, option ya kuitoa kila mtu anaogopa kumuanza mwenzake, inshu ikaja tumbambikie mtuu, mtihani ni hivii unambambikiaje mtuu nakati hata hamjawahi kutana(mimi ndiye niliyemla pekee).

Sasa kuna walimu walikua wanamsumbua sana pale, nikamwambia kama vipi mpe mmoja wapo. Kabla ya kufikia muafaka mawasiliano yakakata, baada ya siku hio hamna tena mazingira ya kuongea na simu maana kote mitihani ilikua inaanza, Inshu ikawa kule kwa sista, hapo nawaza ya kua washajua wanasubiri tuu siku tunafunga napewa vyangu(ndio kawaida mtu kutimuliwa siku ya kufunga).

Niliishi kwa mateso sijapata ona. Siku Tunamalizia mtihani mshkaji wangu akanifuata yaani simple tuu asijue nateseka akaniambia "we boya ile siku umenipa tuu simu ikaingia msg ya ujauzito nikaifuta jamaa umezidi" Nikasimama, nikamuuliza nilichosikia ni kweli au wenge?

Yule ndugu Sijawahi msahau mpaka leo hii. Baada ya ups and downs nyingi Sijui ni miujiza gani, dogo mwezi uliofuatia akapata siku zake. Kuna mambo mengine mengi ila hili ni mojawapo. Ilaa daah watu hatukomii, mtu unaapa kabisa kama hili likipita sitarudia, ila kesho kesho kutwa unarudia.

Share
Pole aiseh
 
Aseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom