Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,136
Reaction score
96,161
Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka.
He should be sued for fatal/ lithal defarmation of opponent party
 
Yes, chadema shall prosecute him for defermation. Ngoja niangalie sheria inasemaje!

Ila kwa mahakama zipi? Za Juma? Hapana!
Tutaenda siku hata kwa zile zitakazorekebishwa na babu
 
Hawezi Kumgusa Amos
Endapo Akiweza Kufanya Hivyo Ajue Yatamkuta Ya Assad Wakati Akiwa CAG
 
Hawezi Kumgusa Amos
Endapo Akiweza Kufanya Hivyo Ajue Yatamkuta Ya Assad Wakati Akiwa CAG
Ikiwa hivyo hata siku moja dia la kuku lisemwalo halimpati mwewe ataweza kupatwa siku isiyo na jina.
 
Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka.

Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Kuna tofauti kidogo hapa. Kauli ya No Reform, No Election ni msimamo rasmi wa CHADEMA. Kauli ya Makalla ni kauli ya mvutabangi mmoja who happens to be a CCM operative. Huyu anastahili kuisaidia police kwa kuwa madai aliyotoa yanahusisha kosa la jinai.
 
Back
Top Bottom