Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
- #61
Mwingamba tangu ameisaliti CDM hadhi hake imepotea...
Ndiyo maana anatumia walau gazeti lao UHURU ili atoke...
Mwingamba tangu ameisaliti CDM hadhi hake imepotea...
R.I.P panya road chadema
..mjinga Mwigamba....yeye ahangaike na chama chake kipya.....yanayotokea chadema yeye anayasemea ya nini?...hivi nchi hii imefikia hapa?kwamba vyama vya upinzani vimehujumiwa na watawala mithili ya kugeuka na kuanza kupingana venyewe kwa venyewe???alafu bado watanzania mnategemea ukombozi wa taifa hili uletwe na vyama???no way.....Katibu Mkuu ACT Samson Mwigamba ameibuka na kutoa pongezi rasmi kwa Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kwa uamuzi wake dhidi ya Chadema.
Mwigamba amesema uamuzi wa Msajili ni Faraja kwake na ni ushindi mkubwa kwani mashtaka hayo aliyapeleka yeye.
Akizungumza jana Mwigamba alisema uamuzi wa msajili kutotambua mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2006 ya Chadema ni wa kuungwa mkono na kila mpenda demokrasia nchini.
Mwigamba ameonya ingawa yuko nje ya Chadema lakini ataendelea kuibua kila udhaifu ndani ya Chadema na anaamini msajili atafanyia kazi kwa maslahi mapana ya demokrasia nchini.Amesema anaamini msajili ataendelea kumpa ushirikiano mpaka pale Chadema watakapokuwa katika mstari.
Souce:UHURU
..mjinga Mwigamba....yeye ahangaike na chama chake kipya.....yanayotokea chadema yeye anayasemea ya nini?...hivi nchi hii imefikia hapa?kwamba vyama vya upinzani vimehujumiwa na watawala mithili ya kugeuka na kuanza kupingana venyewe kwa venyewe???alafu bado watanzania mnategemea ukombozi wa taifa hili uletwe na vyama???no way.....
....kwa mtindo huu wa siasa hizi taka taifa hili halitakombolewa na vyama hivi venye viongozi wanaowapinga waziwazi wenzao wa upinzani....huu ni uchizi mkubwa.....na watawala wanashangilia.....hawa kina mwigamba waganga njaa wala hawalioni hili....
Ametumwa na nani?
Ukiuliza hata watu 100 haraka haraka Dar kuwa Mwigamba ni nani,95% watasema hawamfahamu,achilia mbali vijijini.
Kwa hiyo sishangai kusikia Mwigmba na wasaliti wenzake kutafuta promo ktk vyombo vya habari.
Kamanda makene endelea kuyapa
dozi hayo magamba yalioishiwa mbinu yamebakiza kuhonga rushwa mpaka madhabahuni,,,duuuu majambaz ccm na wasaliti watajinyonga kama yuda isolationist.
Nikianza ku-recall message za mwigamba tokea mwaka 2005 kupitia gazeti la Tanzania Daima na ninaponlinganisha na mwigamba huyu wa sasa hivi najihisi kama sikuwepo nchini for sometimes, yaani ni 2 tofauti kabisa! Hivi si ipo makala 1 aliyoandika kuhusiana na hayo mabadiriko ya katiba miaka kadhaa huko nyuma, tena kupitia gazeti la Tanzania Daima? Unaweza kudhani ccm wanayo technology ya ku-hack hata akili za watu aise! Mwigamba?
Mwingamba tangu ameisaliti CDM hadhi hake imepotea...
Saccos ya mtei inamfia mkweweUtakufa kibaka wewe,
Wenye mamlaka na Katiba ya CHADEMA ni Chadema wenyewe kupitia vikao hasa Mkutano Mkuu.
Chadema itaendelea kuendeshwa kwa umakini wa kuzingatia misingi ya chama hasa Katiba ya Chama.
Chadema haiwezi kuendeshwa kwa ushauri wala kauli zisizo na msingi wowote kutoka kwa Msajili.
Kama CCM na vibaraka wao wanamuogopa Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Slaa, wanastahili pole.
Wenye kujua yupi ana sifa za kugombea na yupi hana, ni wanaCHADEMA kupitia vikao vyao vya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu.
Eti kiongozi wa chama kinachojaribu kujionesha kuwa cha upinzani, ananukuliwa kwenye Gazeti la CCM akijivuna kupambana na Chama Kikuu cha Upinzani nchini, kisha mtu huyo huyo na wenzake wakiambiwa wanafanya kazi ya CCM wanang'aka! What a controversy.
Hii nayo ni facts zaidi
Zitto alipotaka kugombea uenyekiti hakuzuiwa na mliowaita "wazee"?Ongeza na lingine la 5.Kwanini Mwenyekiti wa CCM anakuwa mgombea pekee na hana mpinzani?