Msajili wa Vyama anastahili sifa - Mwigamba

malengo ya act yalishafeli na mwigamba amefeli anajifariji na msajili kuwa ataihukumu cdm .cdm itabaki imara na mud a uliopo si Wa kuhangaika na mwigamba tunamtaka aliyekutuma .ila pole cdm Ina mungu

Na ndiyo maana Chadema inapambana na CCM kwa sababu inajua ACT ni Tawi la CCM.Ukikata mti na Tawi linakuwa limeanguka automatically!
 
Zitto alipotaka kugombea uenyekiti hakuzuiwa na mliowaita "wazee"?
Chacha wangwe alipotaka kugombea akasimamishwa uongozi na kesi juu.

Chadema katu asilani haiwezi kuongozwa na vibaraka wa CCM.
 
Magamba wanatapatapa baada ya CHADEMA kuendelea kuwakalia kooni na kuibua tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazofanywa na makada wa CCM na viongozi wandamizi wa serikali huku wananchi wakikosa huduma muhimu za kijamii. Magamba wasidhani kwamba watanzania wa leo ni kama wale wa mwaka 47...wakae wakijua kwamba kila mtanzania mwenye akili timamu anafahamu kwamba wanaiogopa CHADEMA kwa kuwa ni chama ambacho kimedhamiria kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi badala ya CCM ambao wamekuwa wakiwanyonya wananchi tangu nchi ipate uhuru mpaka leo. Deni la taifa limezidi kukuwa, huduma za kijamii zimedorora sana na maisha ya watanzania walalahoi yamezidi kudidimia mwaka hadi mwaka.

Kwa hiyo, watanzania wenzangu, mnapaswa kufahamu kwamba CCM ina nia mbaya juu ya maisha ya wananchi (isipokuwa mafisadi wachache ndani ya CCM na serikali. Ndio maana wanatafuta kila njia kuivuruga Chadema na safari hii wameamua kumtumia kada wao, Jaji Mutungi, kuichokonoa Chadema ili waelekeze nguvu zao kwenye chama zaidi kuliko kuwakomboa wananchi kutoka utumwa wa miaka 54 ya utawala wa CCM. Kuweni makini sana na harakati hizi ovu za kuvuruga chama cha ukombozi, CHADEMA, kwa maslahi ya mafisadi wachache ndani ya CCM na serikali ambao wanapenda kuona matumbo yao yakituna kila kukicha huku wananchi wakizidi kukondeana kama ng'onda!!!!!!!

View attachment 168514 View attachment 168522

View attachment 168520 View attachment 168521

View attachment 168523

Salute Kamanda!
100%
 
Mwigamba kibaraka wa CCM ameenda kuongelea nyumbani!? Sasa ukatibu mkuu upinzani wa nini ha ha haaaa

Njaa mbaya sana
 
Ni pale tu utakapoamua kutumia uwezo ambao ulipewa na Mungu ,ndipo utaweza kufikiri sawasawa,ninahofu na aina ya chakula ulacho,na makuzi yako

viporo vya asubuhi ni hatari Kwa afya yako ya ubongo
 
maswali machungu na yanayokwepwa kwa nguvu zote kwa chadema
1.Kwanini Mbowe na Slaa ndo wanaolengwa kuongezewa muda?
2.Hakuna wanachama wengine wanaofaa na wenye sifa ni lini watapata nafasi au hadi mtu afe ndo watapata?
3.Ni demokrasia gani wanayoihubiri kupitia jina lao kama hakuna ukomo wa kugombea nafasi za uongozi?
4.ongezea mengine unayoona

Tunataka utuambie
1. Mbowe na Dr.slaa ndo unawaona viongozi wa vyama vya upinzani hakuna viongozi wa vyama vingine?
2. Njoo na jibu hapa cheyo,Lipumba,Seif wamewaachia viongozi vijana?
3. Kwa nini m/ kiti wa ccm hashindanishwi na wagombea wengine?, shibuda alipoonesha nia ya kugombea mbona mkamfyatua na ubunge?
4. Ccm ni chama cha kifalme?
 
Katibu Mkuu ACT Samson Mwigamba ameibuka na kutoa pongezi rasmi kwa Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi kwa uamuzi wake dhidi ya Chadema.

Mwigamba amesema uamuzi wa Msajili ni Faraja kwake na ni ushindi mkubwa kwani mashtaka hayo aliyapeleka yeye.

Akizungumza jana Mwigamba alisema uamuzi wa msajili kutotambua mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2006 ya Chadema ni wa kuungwa mkono na kila mpenda demokrasia nchini.

Mwigamba ameonya ingawa yuko nje ya Chadema lakini ataendelea kuibua kila udhaifu ndani ya Chadema na anaamini msajili atafanyia kazi kwa maslahi mapana ya demokrasia nchini.Amesema anaamini msajili ataendelea kumpa ushirikiano mpaka pale Chadema watakapokuwa katika mstari.

Souce:UHURU
Huyu mwigamba ni kichaa tena anaweza kuwa na cha msimu
Eti mpaka chadema watakapokuwa kwenye msitari
Kwani wasipokuwa kwenye msitari yeye kinachomuma nini?
Utatumika kama big g na utatemwa tu hata aibu huoni?
 
viporo vya asubuhi ni hatari Kwa afya yako ya ubongo

Kwa kweli hawa ccm wanatatizo la ugonjwa wa amnesia
1.mwaka 1995 walikuwa kila siku kwenye magazeti,radio na mikutano ya bunge na hadhara ni kumsema mrema anauroho wa madaraka,walipommaliza siku hizi Lukuvi anamsema waziri mkuu mstaafu na mafao yake atayapigania,ni mpinzani halisi na mrema bila kujielewa amekuwa ndondocha ya ccm
2.mwaka 2000, Seif na Lipumba waliitwa majangili ,chama chao cha kiislamu kinapiga kampeni mskitini hadi 2005 kikaitwa chama cha kigaidi ,mara waarabu wenye imani kali watatuumiza watanzania tusikiunge mkono chama hiki,seif hadi akaondoka kwenda nje
3.mwaka 2010 chadema kilipoanza tu kampeni,na nchi ikageukia kwenye chama alichokiona kina nguvu, ccm kama kawaida yenu mkamshambulia Dr slaa kuwa hana mke,aliyenae ni mke wa mtu,mzinzi,mara alifukuzwa upadri kwa kuiba hela za kanisa,maaskofu walipozijibu hoja zenu,mkahamia Arumeru chama cha wachagga,chama cha kikiristo ,waroma walipowakomalia,mkabadili ni chama cha ukanda ikashindikana maana kipo kila mkoa na wanachama na viongozi hutoka kila dhehebu mkabadili
Ni chama cha kigaidi ,kesi kibao za kuchonga ili kife mkafeli,sasa Mh.Membe akawakumbusha kuwa 2015 tunaenda kupambana na chadema kubwa na imara aaah
Mmeona mbinu zimefeli mkaamua kuunda chama kwa kuchukua wanachama CUF na Chadema ( maana hakuna ubishi rangi ya bendera ya chama cha ACT, na viongozi wake ni wote waliofukuzwa toka vyama hivi viwili ,mmeweka na alama ya nyota itumiwayo na wenzetu waislamu ili kumega waislam na wakristo)
Niwashauri hebu muwe mnarejea historia kwa nini kanisa la Rome liligawanyika pande mbili,mashariki Orthodox na magharibi Catholic church inatead of universal one?
Ccm tatueni matatizo ya wananchi si kuwafundisha wanachadema kuwa viongozi hawa wanafaa,wale hawafai!!
Eti tumewachoka
Ni lini jirani amekuwa msemaji wa familia ya mwenzake kuwa watoto mkataeni baba yenu tumemchoka?
Leteni jipya,mnajidharirisha tu ,au mleteni makamba anaetetea kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni,mimi naona alikuwa bora kuliko msomali na timu yake ya waropokaji
 
Ni pale tu utakapoamua kutumia uwezo ambao ulipewa na Mungu ,ndipo utaweza kufikiri sawasawa,ninahofu na aina ya chakula ulacho,na makuzi yako

Umempa za uso.Sawasawa mkuu.
 
Mwigamba kibaraka wa CCM ameenda kuongelea nyumbani!? Sasa ukatibu mkuu upinzani wa nini ha ha haaaa

Njaa mbaya sana

Huyu mtu ni wazi amechanganyikiwa.Namuapia hataweza kuivuruga Chadema!
 
Tunataka utuambie
1. Mbowe na Dr.slaa ndo unawaona viongozi wa vyama vya upinzani hakuna viongozi wa vyama vingine?
2. Njoo na jibu hapa cheyo,Lipumba,Seif wamewaachia viongozi vijana?
3. Kwa nini m/ kiti wa ccm hashindanishwi na wagombea wengine?, shibuda alipoonesha nia ya kugombea mbona mkamfyatua na ubunge?
4. Ccm ni chama cha kifalme?

Unapoteza muda wako kubishana na Msukule wa Lumumba mkuu wangu.
 
Huyu mwigamba ni kichaa tena anaweza kuwa na cha msimu
Eti mpaka chadema watakapokuwa kwenye msitari
Kwani wasipokuwa kwenye msitari yeye kinachomuma nini?
Utatumika kama big g na utatemwa tu hata aibu huoni?

Hapo anafanyia kazi Project ya waajiri wake CCM
 
Magamba wanatapatapa baada ya CHADEMA kuendelea kuwakalia kooni na kuibua tuhuma mbalimbali za ufisadi zinazofanywa na makada wa CCM na viongozi wandamizi wa serikali huku wananchi wakikosa huduma muhimu za kijamii. Magamba wasidhani kwamba watanzania wa leo ni kama wale wa mwaka 47...wakae wakijua kwamba kila mtanzania mwenye akili timamu anafahamu kwamba wanaiogopa CHADEMA kwa kuwa ni chama ambacho kimedhamiria kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi badala ya CCM ambao wamekuwa wakiwanyonya wananchi tangu nchi ipate uhuru mpaka leo. Deni la taifa limezidi kukuwa, huduma za kijamii zimedorora sana na maisha ya watanzania walalahoi yamezidi kudidimia mwaka hadi mwaka.

Kwa hiyo, watanzania wenzangu, mnapaswa kufahamu kwamba CCM ina nia mbaya juu ya maisha ya wananchi (isipokuwa mafisadi wachache ndani ya CCM na serikali. Ndio maana wanatafuta kila njia kuivuruga Chadema na safari hii wameamua kumtumia kada wao, Jaji Mutungi, kuichokonoa Chadema ili waelekeze nguvu zao kwenye chama zaidi kuliko kuwakomboa wananchi kutoka utumwa wa miaka 54 ya utawala wa CCM. Kuweni makini sana na harakati hizi ovu za kuvuruga chama cha ukombozi, CHADEMA, kwa maslahi ya mafisadi wachache ndani ya CCM na serikali ambao wanapenda kuona matumbo yao yakituna kila kukicha huku wananchi wakizidi kukondeana kama ng'onda!!!!!!!

View attachment 168514 View attachment 168522

View attachment 168520 View attachment 168521

View attachment 168523

nami naomba niongezee ushahidi kuntu:
CCM chalinze 21st century mjengwablog.jpg
 
Kwa kweli hawa ccm wanatatizo la ugonjwa wa amnesia
1.mwaka 1995 walikuwa kila siku kwenye magazeti,radio na mikutano ya bunge na hadhara ni kumsema mrema anauroho wa madaraka,walipommaliza siku hizi Lukuvi anamsema waziri mkuu mstaafu na mafao yake atayapigania,ni mpinzani halisi na mrema bila kujielewa amekuwa ndondocha ya ccm
2.mwaka 2000, Seif na Lipumba waliitwa majangili ,chama chao cha kiislamu kinapiga kampeni mskitini hadi 2005 kikaitwa chama cha kigaidi ,mara waarabu wenye imani kali watatuumiza watanzania tusikiunge mkono chama hiki,seif hadi akaondoka kwenda nje
3.mwaka 2010 chadema kilipoanza tu kampeni,na nchi ikageukia kwenye chama alichokiona kina nguvu, ccm kama kawaida yenu mkamshambulia Dr slaa kuwa hana mke,aliyenae ni mke wa mtu,mzinzi,mara alifukuzwa upadri kwa kuiba hela za kanisa,maaskofu walipozijibu hoja zenu,mkahamia Arumeru chama cha wachagga,chama cha kikiristo ,waroma walipowakomalia,mkabadili ni chama cha ukanda ikashindikana maana kipo kila mkoa na wanachama na viongozi hutoka kila dhehebu mkabadili
Ni chama cha kigaidi ,kesi kibao za kuchonga ili kife mkafeli,sasa Mh.Membe akawakumbusha kuwa 2015 tunaenda kupambana na chadema kubwa na imara aaah
Mmeona mbinu zimefeli mkaamua kuunda chama kwa kuchukua wanachama CUF na Chadema ( maana hakuna ubishi rangi ya bendera ya chama cha ACT, na viongozi wake ni wote waliofukuzwa toka vyama hivi viwili ,mmeweka na alama ya nyota itumiwayo na wenzetu waislamu ili kumega waislam na wakristo)
Niwashauri hebu muwe mnarejea historia kwa nini kanisa la Rome liligawanyika pande mbili,mashariki Orthodox na magharibi Catholic church inatead of universal one?
Ccm tatueni matatizo ya wananchi si kuwafundisha wanachadema kuwa viongozi hawa wanafaa,wale hawafai!!
Eti tumewachoka
Ni lini jirani amekuwa msemaji wa familia ya mwenzake kuwa watoto mkataeni baba yenu tumemchoka?
Leteni jipya,mnajidharirisha tu ,au mleteni makamba anaetetea kutoa rushwa kwenye uchaguzi wa kura za maoni,mimi naona alikuwa bora kuliko msomali na timu yake ya waropokaji

Vita wanayopigana na Mbowe na Dr Slaa imesababisha wanachama wote kuungana na kuwa kitu kimoja kuwalinda mashujaa viongozi wao wasioyumba!
 
Na ndiyo maana Chadema inapambana na CCM kwa sababu inajua ACT ni Tawi la CCM.Ukikata mti na Tawi linakuwa limeanguka automatically!

Na niwakumbushe tu m/ kiti wa ACT amefukuzwa chadema,katibu amefukuzwa CUF( ADC), mshauri aitwae msomi amefukuzwa chadema
Watu walioshindwa kutumia elimu yao kutatua migogoro nsani ya vyama vyao( kama ipo) ,watu wanaoshindwa kuheshimu uongozi wa juu,utawapaje uongozi wa nchi?
Mwigamba kusimamishwa uchair ukahama chama,Limbu ( pamoja na kaka yako wa ccm aliyeshinswa hata kujenga rami kutoka Magu hadi mahaza km0.5) ,uliponyimwa uongozi ukaanzisha ADCmliposhindana na m/ kiti wako umeenda ACT ,ninyi hamna tofauti na mchezaji wa netiboll GA
 
Vita wanayopigana na Mbowe na Dr Slaa imesababisha wanachama wote kuungana na kuwa kitu kimoja kuwalinda mashujaa viongozi wao wasioyumba!
Molemo
Mijamaa ya Lumumba ukiipa fact inasepa,hii ni aibu,yameua Think tak imebaki mipiga dili tu ,huku kwetu m/ kiti aliuza eneo la kuzikia,just imagine hao ndio wanaccm wenye uchungu na nchi hii
 
Na niwakumbushe tu m/ kiti wa ACT amefukuzwa chadema,katibu amefukuzwa CUF( ADC), mshauri aitwae msomi amefukuzwa chadema
Watu walioshindwa kutumia elimu yao kutatua migogoro nsani ya vyama vyao( kama ipo) ,watu wanaoshindwa kuheshimu uongozi wa juu,utawapaje uongozi wa nchi?
Mwigamba kusimamishwa uchair ukahama chama,Limbu ( pamoja na kaka yako wa ccm aliyeshinswa hata kujenga rami kutoka Magu hadi mahaza km0.5) ,uliponyimwa uongozi ukaanzisha ADCmliposhindana na m/ kiti wako umeenda ACT ,ninyi hamna tofauti na mchezaji wa netiboll GA

Na laana ya Wasaliti watajaanza kutafunana wao kwa wao.Tuombe Mungu ni suala la muda tu.
Usaliti ni dhambi isiyofutika ni sawa na kula nyama ya mtu.
 
Back
Top Bottom