Tumaini
Inaashiria wewe una kichwa kigumu sana na sio mwepesi kuelewa jambo. Napata shaka juu ya uhalali wako wa kuifanyia kazi CHADEMA.
Kitu ambacho Mwigamba anasema ni kwamba, pamoja na kwamba yeye sio mwanachama wenu, lakini atahakikisha anayasema madhaifu ya CHADEMA kwa maslahi ya demokrasia.
Badala ya kutumia nguvu nyingi kukwepa hoja ya Mwigamba na kumtuhumu kuwa anatumiwa na CCM. Nadhani ni vyema nyinyi kama wana CHADEMA mkafanya jambo sahihi tu, it's simple.
Kama mnataka kuhalalisha utawala wa kifalme wa bwana Mbowe, angalau mfanye hivyo kwa njia halali zinazo kubalika. Sio mfanye mambo kinyemela.
Vikao halali vikae kupitisha hicho kipengere, na kama kikipita, basi msajili apatiwe muhtasari wake. Hilo likifanyika, hakuna atakae ibua tena hoja ya hicho kipengere.