Msajili wa Vyama anastahili sifa - Mwigamba

.

mi nilidhani lengo la ACT NI KUSHIKA DOLA kama ilivyo kwa vyama thabit vya siasa.kumbe lengo la Act ni kufuatilia nyendo za chadema,na kwa malengo haya act hakitufai maana watanzania wanataka chama kinachoweza kuwa mbadala wa ccm.kwanini wamsakame mbowe na uwenyekiti wake ndani ya chadema maana kama ni uwenyekit kabla mbowe hajawa m/kit prof lipumba alikuwa /cuf,cheyo alikuwa m/kiti udp nk.sasa kwa nini mbowe uwenyekiti wake iwe nongwa kwa Act au ndio sera zao zinavyosema kwamba chadema kwanza ACT BAADAE.

Task waliyopewa na mabwana zao wakati wanasajili ACT ni kuhakikisha wanamuondoa Mbowe na Dr Slaa kwenye siasa.

Hawatafanikiwa katu!
 
chadema inabidi waombewe naona dawa za kienyeji haziwasadii tena.
 
Yeye hayupo pale kuimarisha chama cha ACT.Yeye yupo pale na hicho chama chao cha magumashi kufanya kazi ya CCM
Unadhani kwa kuwa wewe ni kibaraka wa mabwana zako akina mbowe na slaa basi ni kila mtu?
 
Wewe una hadhi gani kibaraka mkubwa wa mbowe zaidi ya kufua nguo za mahawara wa mabwana zako

Matusi yanaonyesha upeo wako ulikofikia.

Watu wazima hawatukani bali wanajenga hoja.Ukitukana matusi kwangu ni Faraja kubwa kwa sababu naamini kisu kimefika kwenye mfupa.Jinsi unavyotukana ndiyo furaha yangu huongezeka!
 
Task waliyopewa na mabwana zao wakati wanasajili ACT ni kuhakikisha wanamuondoa Mbowe na Dr Slaa kwenye siasa.

Hawatafanikiwa katu!
Dj zero na mzinzi mwenzie wataondolewa na katiba na sheria sio na mtu yeyote.
 
maswali machungu na yanayokwepwa kwa nguvu zote kwa chadema
1.Kwanini Mbowe na Slaa ndo wanaolengwa kuongezewa muda?
2.Hakuna wanachama wengine wanaofaa na wenye sifa ni lini watapata nafasi au hadi mtu afe ndo watapata?
3.Ni demokrasia gani wanayoihubiri kupitia jina lao kama hakuna ukomo wa kugombea nafasi za uongozi?
4.ongezea mengine unayoona
 
Matusi yanaonyesha upeo wako ulikofikia.

Watu wazima hawatukani bali wanajenga hoja.Ukitukana matusi kwangu ni Faraja kubwa kwa sababu naamini kisu kimefika kwenye mfupa.Jinsi unavyotukana ndiyo furaha yangu huongezeka!
Chukua sumu kwa lwakatare au sa8 unilishe au muone kileo akupe tindikali unimwagie
 
maswali machungu na yanayokwepwa kwa nguvu zote kwa chadema
1.Kwanini Mbowe na Slaa ndo wanaolengwa kuongezewa muda?
2.Hakuna wanachama wengine wanaofaa na wenye sifa ni lini watapata nafasi au hadi mtu afe ndo watapata?
3.Ni demokrasia gani wanayoihubiri kupitia jina lao kama hakuna ukomo wa kugombea nafasi za uongozi?
4.ongezea mengine unayoona

Ongeza na lingine la 5.Kwanini Mwenyekiti wa CCM anakuwa mgombea pekee na hana mpinzani?
 
Wenye mamlaka na Katiba ya CHADEMA ni Chadema wenyewe kupitia vikao hasa Mkutano Mkuu.

Chadema itaendelea kuendeshwa kwa umakini wa kuzingatia misingi ya chama hasa Katiba ya Chama.

Chadema haiwezi kuendeshwa kwa ushauri wala kauli zisizo na msingi wowote kutoka kwa Msajili.

Kama CCM na vibaraka wao wanamuogopa Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Slaa, wanastahili pole.

Wenye kujua yupi ana sifa za kugombea na yupi hana, ni wanaCHADEMA kupitia vikao vyao vya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu.

Eti kiongozi wa chama kinachojaribu kujionesha kuwa cha upinzani, ananukuliwa kwenye Gazeti la CCM akijivuna kupambana na Chama Kikuu cha Upinzani nchini, kisha mtu huyo huyo na wenzake wakiambiwa wanafanya kazi ya CCM wanang'aka! What a controversy.

Hii nayo ni facts zaidi

Wanachoshindwa kujua hawa vibaraka wa CCM na Maccm wote ni kuwa kuonyesha kwao hofu ya wazi dhidi ya viongozi wa sasa wa Chadema kunatujengea imani zaidi kwao. Wanatumia nguvu nyingi eti wasiongoze Chadema ili wapate wa kuwanunua sasa sisi ndio tunaongeza imani.
Wangekuwa wajanja wangejitokeza na kuwasifu sana Mbowe na Slaa kuwa ni viongozi wazuri nasi tungeanza kupata mashaka na pengine tungeona tuwaweke pembeni maana kusifiwa na adui ni dalili mbaya.
Nakumbuka wakati ule wa shutuma za kiongozi mmoja msaliti, hawa maccm wakashindwa kuficha hisia zao wakatumia nguvu kubwa kumtetea na kumsifu kwa mbwembwe nyingi sana bila kujua kuwa walikuwa wanaweka saini ya mwisho kwenye Talaka yake. Sasa ona hata kumsaidia tena hawamo. Kweli hawa jamaa ni Intarahamwe kama alivyowaita Lipumba.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Matusi yanaonyesha upeo wako ulikofikia.

Watu wazima hawatukani bali wanajenga hoja.Ukitukana matusi kwangu ni Faraja kubwa kwa sababu naamini kisu kimefika kwenye mfupa.Jinsi unavyotukana ndiyo furaha yangu huongezeka!

Achana nae huyo! Ndivyo walivyo hao. Unaweza kukuta ana hasira zake pengine hajalipwa hela ya post zake za jana hivyo kila anayekatiza mbele yake ni matusi tuu.
Ndugu yangu Lumumba sasa hivi ni shida sana. Ona hata Mwanasheria wao Mkuu anaita wenzake Tumbili na anasema atawakata vichwa. Hiyo yote ni kukosa hoja tuu.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wanachoshindwa kujua hawa vibaraka wa CCM na Maccm wote ni kuwa kuonyesha kwao hofu ya wazi dhidi ya viongozi wa sasa wa Chadema kunatujengea imani zaidi kwao. Wanatumia nguvu nyingi eti wasiongoze Chadema ili wapate wa kuwanunua sasa sisi ndio tunaongeza imani.
Wangekuwa wajanja wangejitokeza na kuwasifu sana Mbowe na Slaa kuwa ni viongozi wazuri nasi tungeanza kupata mashaka na pengine tungeona tuwaweke pembeni maana kusifiwa na adui ni dalili mbaya.
Nakumbuka wakati ule wa shutuma za kiongozi mmoja msaliti, hawa maccm wakashindwa kuficha hisia zao wakatumia nguvu kubwa kumtetea na kumsifu kwa mbwembwe nyingi sana bila kujua kuwa walikuwa wanaweka saini ya mwisho kwenye Talaka yake. Sasa ona hata kumsaidia tena hawamo. Kweli hawa jamaa ni Intarahamwe kama alivyowaita Lipumba.

Sent from my iPad using JamiiForums

Mkuu umenikosha sana kwa hija zako hizi.
 
mwigamba acha wivu we kitoto,ya chadema yanakuhusu nini mpaka uishabikie!?
imarisheni act yenu achaneni name cdm,usalitini wenu tulishaujua nyie sio wapinzani wa kweli,nyie ni moles wa ccm.
 
Ndiyo ugundue hicho chama chake ni Tawi la CCM
 
Back
Top Bottom