Greenwhich
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,337
- 968
- Thread starter
- #21
Kutumika kubaya sana,kama alishindwa kutunza siri ya kuwa na ule waraka wa mabadiliko mpk ukaja kushikwa umakini wake nautialia shaka sana
Huyu ni mzuri kwa matumizi ya papo kwa hapo ila ya badaye hafai
Na kweli ule waraka wake kuvuja ulimuumbua sana.
Sidhani kama washirika wake Zitto na Kitila wanamuamini tena! Hapa wanamtumia tu lakini baadaye watamfukuza kama mbwa