GE2025 Msajili avitaka vyama vya siasa kuwasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewataka viongozi wa vyama nchini kuhakikisha wagombea katika uchaguzi mkuu wanawasilisha taarifa za gharama za kampeni kabla ya siku ya uteuzi, vinginevyo wanaweza kuwekewa pingamizi la kugombea.

haya maagizo si tulishakubaliana kwamba hayakihusu chama twawala?
 
CCM inavunja sheria zote na hamna la kufanya.
 
Back
Top Bottom