Quinine Mwitu JF-Expert Member Oct 19, 2014 5,267 5,665 Dec 7, 2018 #81 TIBIM said: Si dhambi katiba yao inaruhusu Click to expand... Sasa hizi vurugu za nn? CCM wote Wana hofu kwa ajili ya mkuu tuu
TIBIM said: Si dhambi katiba yao inaruhusu Click to expand... Sasa hizi vurugu za nn? CCM wote Wana hofu kwa ajili ya mkuu tuu
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,142 20,787 Dec 7, 2018 #82 Nilikua na nachukulia hii issue ni utani tu, kumbe serious kiasi hiki? Ha ha ha haaaa... Amezungumza na machinga, mamantilie, wanavyuo, mamlaka ya takwimu imemruhusu? Hapa ndo sasa nagundua kweli "Nape na January " walifanya kazi kubwa sana.
Nilikua na nachukulia hii issue ni utani tu, kumbe serious kiasi hiki? Ha ha ha haaaa... Amezungumza na machinga, mamantilie, wanavyuo, mamlaka ya takwimu imemruhusu? Hapa ndo sasa nagundua kweli "Nape na January " walifanya kazi kubwa sana.
D Dina JF-Expert Member Sep 18, 2008 3,190 1,728 Dec 7, 2018 #83 Hivi hawa watu huwa wanapata wapi haya maneno mazuri ya kutusemea kwa niaba? Ila BM ajiandae, sidhani kama ana seat Lumbs.....
Hivi hawa watu huwa wanapata wapi haya maneno mazuri ya kutusemea kwa niaba? Ila BM ajiandae, sidhani kama ana seat Lumbs.....
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,142 20,787 Dec 7, 2018 #84 "hata kama kwa kuvunja sheria" tuungane kuwapiga vita wale wote wenye uchu wa madaraka, ha ha ha ha haaaaaaa..... Sasa na wewe si unauchu..
"hata kama kwa kuvunja sheria" tuungane kuwapiga vita wale wote wenye uchu wa madaraka, ha ha ha ha haaaaaaa..... Sasa na wewe si unauchu..
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Dec 7, 2018 #85 tajirijasiri said: Tianeni Najisi, sababu ndio kazi yenu, Mmenajisi kila kitu mpaka nchi haina maendeleo tena. Dhambi ya ubaguzi haijawahi acha mtu salama. Click to expand... Ni sawa na kula nyama ya binadamu hutaacha
tajirijasiri said: Tianeni Najisi, sababu ndio kazi yenu, Mmenajisi kila kitu mpaka nchi haina maendeleo tena. Dhambi ya ubaguzi haijawahi acha mtu salama. Click to expand... Ni sawa na kula nyama ya binadamu hutaacha
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Dec 7, 2018 #87 Mara CHUMA CHA PUA, mara ANAKOSESHWA AMANI. Huyu jamaa haitaji vipimo, ni moja kwa moja wodini. Yaani imefikia sehemu KURA zimekuwa threat kwa vyuma vya pua
Mara CHUMA CHA PUA, mara ANAKOSESHWA AMANI. Huyu jamaa haitaji vipimo, ni moja kwa moja wodini. Yaani imefikia sehemu KURA zimekuwa threat kwa vyuma vya pua