Msaidizi wa Kampeni wa Edward Lowassa mbaroni

visasi zimeanza wasipoangalia watamalizana wao kwa wao......naskia jamaa anapenda visasi sana bdo wale aliosema mchana wko nae ucku wko ukawa

Kaamua kuwakimbiza ikulu akina Michuzi akiwa na camera na blog yake na wenzao ngoja utasikia wakimpiga majungu kwa kwenda mbele kisha nao watakuja kukamatwa baadae !
 
Hatua za aina hii wakati kama huu baada ya kwisha kwa uchaguzi ni ama dalili za serikali kukosa kujiamini au kuwa na watu waliozama kwenye visasi. Ni dalili mbaya kwa mustakabali wa nchi kwani hakuna mwenye ukiritimba wa hulka ovu na zikiendekezwa hazitoweki kirahisi.
Visasi huwa havijengi hata siku moja Visasi huwa vinabomoa zaidi kwani ukimlipa kisasi naye atalipa kisasi au Kama hana uwezo analipiwa kisasi na wengine, hutapaswi kuishi ktk ulimwengu wa Visasi kabsa, sasa ni wakati wa kulijenga Taifa miaka 54 taifa limedumaa kimaendeleo tukiendekeza Visasi tutabakia hapa hapa milele.
 
Eti uchunguzi uliofanywa na gazeti. Tusubiri uchunguzi wa polisi. Nadhani wale ma IT 191 wanabanwa nyeti zao huko jela watakua wanalopoka sana. Ngoja tuone movie inaendelea

unavyoonesha we ni mtu mwenye chuki ya kupitiliza hufai kabisa kuwa mama wa kambo!aliyekuoa kala asala
 
Huu ni uchochezi. Hiyo misuli yako hakuna anayehitaji. Tujenge nchi na kuacha majungu kwa vitu visivyo na ufaham. Hivi ikitokea ukapotea ndugu zako wa karibu hiyo misuli itakusaidia nini. Tumia akili. Ukiweza jifungie chumbani payuka mwenyewe ndio uje jamvini

Wewe unafikiri kwanini humu jamvini tukio lolote la kukamatwa kwa wapinzani linafurahiwa sana na wana CCM?
Wanajua kinachoendelea~ which is purging. One by one, our friends are getting lost!
 
Mkuu funza au minyoo Mungu aendelee kukubariki kwa kuendelea kuhubiri upendo nchi majirani na kusihi viongozi waepukane na kuepukana na visasi.
 
Last edited by a moderator:
EL angekuwa rais, mafisadi wangefanyia sherehe sayari ya Mars. Pole pole mpaka atatiwa hatiani kubwa la maadui.

Kuna watu humu walijifanya wadukuzi na watetezi wa upuuzi... ngoja tuone wanaishia wapi

Hivi Lowasa ndiye "fisadi" turn.
Yule afisa WS ikulu aliyelipwa shs. 800mil. Yuki wapi?
Pesa iliyochukuliwa Stanbic bank kwa sandarusi na viroba ilikwenda ofisi
gani?
Mbona ikulu ya jk haiku to a jibu hadi anaondoka? Magufuli akiwakamata wahusika nitajua yuko serious name kuwatia mbaroni majizi na mafisadi.
 
Kaamua kuwakimbiza ikulu akina Michuzi akiwa na camera na blog yake na wenzao ngoja utasikia wakimpiga majungu kwa kwenda mbele kisha nao watakuja kukamatwa baadae !

naskia jamaa anapenda visasi sana tutaona mengi sasa malaya n mashangingi wa dar wote walikua ccm......ikulu 2015 walikuepo cjui watapewa ulaji wapi mana ni wengi sana kuanzia bongo movie hadi bongo fleva
 
Mtamlilia sana Kikwete! Wale wooote wanao dhani awamu ya tano ni awamu ya kutukana kwenye media na uhuni mwingine wowote basi eleweni kuwa jeshi la polisi limeagizwa kufanya kazi at full capacity. Huyo Awale ana tuhuma zake za kutakatisha pesa haramu pale Stanbic. Nipashe walitaka kuuza gazeti ndio maana wameandika habari yao kwa kuokoteza kwa kuwa bado hawajapatiwa taarifa kamili kuhusu huyo fisadi.

Yani Lowassa hakuwahi kuzungukwa na watu wasafi. Kweli fisadi ni fisadi tu.

ccm pombe anatawala kwa mkono wa chuma mwishowe atakuwa kama nebukadreza
 
Ifike wakati tuviheshimu vyombo vyetu vya usalama,jambo la usalama linatuhusu watanzania wote likitokea tatizo litatukumba wote halitabagua huyu wa chama gani na huyu si mwanachama
Uwa magimbi yanalewesha au unatoa single yako
 
Usalama wa taifa unafanya kazi yake,, sasa wakikaa kimya alafu yangetokea ya kutokea kutokana na mkenya huyo si mngelaumu kuwa serikali ni wazembe kiutendaji??
linapofika swala la usalama wa taifa letu tuache wahusika wafanye kazi yao kwa maslahi ya taifa,, wenyewe ndo wanajua zaidi vigezo vya kukamata mtu kuliko wewe unaekalia kupinga kila kitu kinachofanywa kwa usalama wa taifa,,
 
Wewe unafikiri kwanini humu jamvini tukio lolote la kukamatwa kwa wapinzani linafurahiwa sana na wana CCM?
Wanajua kinachoendelea~ which is purging. One by one, our friends are getting lost!
Hizi conspiracy na theory zisizohataeleweka hazina msaada kwa Taifa. Hakuna mtu atakayeonewa. Sikufaham lakini ninakuomba andika vitu vyenye ukweli na vyenye kuleta mshikamani. Hii dhana ya purging waachie Warundi wameizoea. nchi yetu ni tofauti. Na kama huelewi nini maana ya umwagaji damu na huwa unaanza na kauli hizi, watembelee wakimbizi na uwasikilize. Tutapotea sisi na vizazi vijavyo. Siasa ni muhim lakini UTANZANIA KWANZA.
 
Serikali ilikaa kimya inalaumiwa ikitimiza wajibu wake, inashutumiwa. Hakuna aliye juu ya sheria, umaarufu si kigezo
 
Mtu unaacha kufanya professional yako unaanza kuhangaika na siasa tena siyo mtanzania.acha akamatwe tena arudishwe kwao Kenya.
 
Tanzania kuna wakongo na warundi na wanyarwanda zaidi ya million mbili hapo hujaguza wanyasa, wazambia na Nchi zingine,?sidhani kama wageni ndiyo kikwazo cha Nchi kukosa maendeleo wala si wageni waliomfamnya Lowasa akatoa Upinzani kwa ccm, huu si mda wa kuutukuza Ubaguzi ni mda wa kutulia na kutafakari hali ya Zanzibar na kuangalia jinsi ya kupiga hatua kimaendeleo.

Hao wote uliowataja wamekulia Kenya kwa mjomba? Au nimekurupuka?
 
Kwa mujibu wa Mtoa taarifa ( Gazeti la Nipashe) alikuwa yupo kwenye Team Lowassa tangu akiwa CCM. Na kwa maelezo yako Msami amekamatwa kwa kujiingiza katika siasa wakati siyo Mtanzania, kwa nini iwe sasa na siyo tangia Lowassa akiwa CCM? Je kuna jambo nyuma ya pazia?

Wapelelezi walikuwa wanaendelea kumpa kamba zaidi ili ajinyonge vizuri.
 
Back
Top Bottom