maisha ndgu yang 2naktana na marafk weng xan wana maixh magum xa 2kxema kila m2 2mwezexhe mtaj itakuw ngum ndo maan wengne 2nwataftia mxaada hmu jf.
Huu Usharo wako ndio unaokufanya unaona maisha magumu,acha ubitozi piga kazi,okota makopo,nenda city kaombe kazi za kufagia barabara,nenda kk security tafuta kazi kijana,uza maji ya kandoro,tembeza karanga,tembeza mayai,huo usharo wako unataka kwenda kuwala watoto wa baba mwenye nyumba au kuwa marioo kwa mama mwenye nyumba.
asante kwa ushauri mkuu hao tigo hawana vigezo vyovyote vya kumchagua mtu?
Habari zenu JF
Nina rafiki yangu katoka mkoani kaja Dar kutafuta maisha yani anapata tabu sana sababu hana kazi na ukiangalia hata sehemu ya kulala ni ya kuunga-unga, naombeni anayeweza kumsaidia amsaidie kazi yoyote yeye amesema atafanya. Ana elimu ya form 4, ana umri wa miaka 19-21, Ni mvulana, mwenye nafasi yoyote ile ya kazi hata nyumbani kwake please!
Msaidieni maisha magumu