King snr
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 1,165
- 1,474
- Thread starter
- #21
kwanini ulimpokea wakati unajua wazi huna uwezo wa kumsaidia hata basic need ya malazi? Achilia mbali hata Kula nako!!
Hivi unajua kuwa huo ni ukatili kwa mwanadamu mwenzio mkuu?
Bora ungemuumiza kwa kumwambia ukweli kuliko kumfurahisha kwa uongo.:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
mkuu ujaelewa mi sijamwita nilikutana nae 2 ubungo nikamkumbka ndo akaniambia hzo shda xo nkamwambia cna uwezo ngoja nkutaftie nkipata ntakujulsha ndo tegemeo lang lilkuw hpa jf.