msahada wa pet dog dume nitapata wapi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msahada wa pet dog dume nitapata wapi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Babuu blessed, Oct 15, 2012.

 1. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Habari wana chit chat ninaomba msahada ninae mbwa wangu ni jamii ya PET DOG jike nilipewa zawadi kutoka congo tangu mwaka jana sasa nataka waongezeke,kama naweza pata msahada wa dume jamii ya pet dog naombeni tuwasiliane kwa PM.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu hebu tuwekee picha humu tumwone kwanza, manake isije kuwa ni yule Ayumi wangu aliyepotea.

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mjomba hakyamama nilivyoona tangazo hili.....mawazo yangu hayajatofautiana hata chembe na ya kwako....kuna wasiwasi hapa....
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Asante Mjomba, si umeona hata Babuu blessed amesepa? Nataka Ayumi hapa Babuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mkuu huyu dog ametoka congo mi nacho itaji ni dume la mbegu akifanikiwa kuzaa utapata mbwa.mbwa mwenyewe ni mweupe nipo na simu ya mchina siwez ku upload pic .
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hv unadhani hata kama angekuwa wakwako utampata kirahci
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mkuu ungeweka picha kwanza dume tutamwuliza Kongosho atakusaidia, manake nasikia anamtumia kwa kazi maalumu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  He he he he, kiuno cha Ayumi kinavutia

  Kimebinuka kweli kweli

   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,846
  Trophy Points: 280
  haya ayumi kabinuka kiuno huku kapotea haya mie nnae jibwa koko sif yake anapanda hata wake watatu kwa siku oja na mimba zake ni mapacha watatu unamtaka?
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Don't you remember when I said Ayumi is more than a dog, probably valued than a human being? hahaaaaa!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mmmh ako....kama ndo hivi.....ashukuriwe mwizi aliyemuhifadhi Ayumi....
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Oct 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Itaniuma sana kama mwizi kamhifadhi, ni heri wahehe wamfanye kitoweo kuliko kumhifadhi
   
Loading...