Msafara wa wachaga wakiilekea kwao!!

permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
4,458
2,000
Tatizo wachaga wakienda kwao wanarudi na magari yao. Wahaya wenyewe wanayaacha hukohuko wanakuja kutafuta mengine. Nshomire wanambwembwe sana
Wahaya bila kufiwa huwa hawaendi nyumbani. Bukoba humo hata usafiri wa shida sana. Waende wakawasaidie na wale waliopatwa na maafa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom