Msafara wa Rais wasababisha ajali - Visiga.

Jana majira ya saa 11 jioni,msafara wa Rais J.M. Kikwete ulisababisha ajali ya basi kubwa la Abood lililopinduka miguu juu Visiga,Kibaha-Pwani. Taarifa rasmi zinaonesha kuwa gari lililopinduka lilikuwa safarini kwenda Moro wakati Rais akielekea Dar. Gari hilo limeondolewa saa 9 usiku chini ya askari wenye silaha za moto kuficha kadhia hii kwakuwa makosa yalifanywa na msafara wa JK. Hakukuwa na aliyepoteza maisha ila majeruhi kadhaa...

Damu ya Mwangosi hiyo inamfuata kila anapokwenda
 
duh! ! ! !
Hiyo ajali ilitokea saa ngapi hadi basi liondolewe saa 9 za usiku.
 
Uzembe wa Mapoliccm ndio uliosababisha ajari. Ilishatokea before barabara hiyo hiyo ya Morogoro. Wanaficha nini sasa, kwani abiria hawakuona? Ujinga gharama
 
Mkuu Kongosho,ajali ilitokea saa 11 jioni. Gari husika lilitumbukia bondeni pembeni mwa barabara. Wananchi hawakuruhusiwa kusogea hivyo kuambulia kuona majeruhi tu...
 
Kwa nini lipinduke basi la Abood tu na si mabasi mengine waliyokutana nayo huko njani?
 
haikufichwa hii habari blog ya godwin francis aliweka picha
IMG_2244.JPG

IMG_2242.JPG
 
Jana majira ya saa 11 jioni,msafara wa Rais J.M. Kikwete ulisababisha ajali ya basi kubwa la Abood lililopinduka miguu juu Visiga,Kibaha-Pwani. Taarifa rasmi zinaonesha kuwa gari lililopinduka lilikuwa safarini kwenda Moro wakati Rais akielekea Dar. Gari hilo limeondolewa saa 9 usiku chini ya askari wenye silaha za moto kuficha kadhia hii kwakuwa makosa yalifanywa na msafara wa JK. Hakukuwa na aliyepoteza maisha ila majeruhi kadhaa...

Kuna thread ililetwa toka mchana kuhusu hiyo ajali jaribu kupoteza muda kidogo mkuu kui search... Nadhani umekurupuka na kusema ilifichwa, hata maelezo yako ka unazingua, gari ipate ajali leo af unadai imeondolewa saa 9 usiku wakati hata haijafika.
 
Jana majira ya saa 11 jioni,msafara wa Rais J.M. Kikwete ulisababisha ajali ya basi kubwa la Abood lililopinduka miguu juu Visiga,Kibaha-Pwani. Taarifa rasmi zinaonesha kuwa gari lililopinduka lilikuwa safarini kwenda Moro wakati Rais akielekea Dar. Gari hilo limeondolewa saa 9 usiku chini ya askari wenye silaha za moto kuficha kadhia hii kwakuwa makosa yalifanywa na msafara wa JK. Hakukuwa na aliyepoteza maisha ila majeruhi kadhaa...
Mwaka jana pia pale Ruvu daraja la Reli msafara wa Mama wa Kwanza ulisababisha ajali na Dreva mmoja wa gari la jamaa wa Intelijensia alipoteza maisha, nakumbuka ilikuwa jumapili. Poleni wasafiri mlioumia.
 
Jana majira ya saa 11 jioni,msafara wa Rais J.M. Kikwete ulisababisha ajali ya basi kubwa la Abood lililopinduka miguu juu Visiga,Kibaha-Pwani. Taarifa rasmi zinaonesha kuwa gari lililopinduka lilikuwa safarini kwenda Moro wakati Rais akielekea Dar. Gari hilo limeondolewa saa 9 usiku chini ya askari wenye silaha za moto kuficha kadhia hii kwakuwa makosa yalifanywa na msafara wa JK. Hakukuwa na aliyepoteza maisha ila majeruhi kadhaa...

Ilifichwa na nani? mbona thread iko hapa muda mrefu? duni ya leo hakuna mmiliki wa habari...

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/319565-msafara-wa-rais-wasababisha-ajali-visiga-3.html#post4583312
 
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!

Pole Asprin. Ajali uisikie tu, ni noma! Usiombe yakukute, huwa haitoki kichwani. Mwambie wife akatoe shukrani maalum kwa Mungu. Uyo abood zamani alikuwa "anachinja" kila mwaka. Sikuizi labda ameacha.
 
Mbona hapa jukwaani kuna mdau kadai msafara wa JK ndio chanzo, maana dereva wa Abood alikua anajaribu kupunguza mwendo na kuukwepa ndio basi likamshinda

Bila shaka alikuwa kwenye mwendo kasi huko kwingine kote msafara wa rais ulikopita haukukutana na magari mengine ikiwa pia mabasi? Hii kampuni inatakiwa ifungwe kila kukicha ajali mbaya why why why?????????
 
Mie nshawahi kutana nao best, lazima uwe na defender ya trafik ambayo huwa kama mbadala wa pikipiki, alafu inafata ya RPC kama sijakosea, alaf ndo zile gari zake nyeusi, isije ukawa unachanganya msafara wa Rais na wa Pinda au Makamu maana hao ndo naonaga mbele yao huwa na gari moja tu la Polisi
 
Back
Top Bottom