Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
Kwa jinsi msafara wa Rais ulivyo hapo naweza sema ni uzembe na upuuzaji wa madereva wetu, maana kabla ya kuyafikia magari ya msafara hutanguliwa na pikpik mbili za Polisi, sasa kwa kuzingatia na ukubwa wa mabasi hayo dereva huona umbali mkubwa na ana nafasi ya kupunguza mwendo kama alikuwa speed, sema madereva wetu bana wanapenda mibrek ya hapa na hapa ndo shida kama hapo kaja na mibio mwenziye wa mbele kaweka mguu kati ye kaja mzima mzima kataka kumbutua ikabidi aitoe nje ya barabara kawamwaga abiria..