Msafara wa Rais wasababisha ajali - Visiga.

hivi kwanini misafara ya huyu baba kila mara inamwaga damu kama sio ya kupoteza maisha basi damu ya kuumia itatoka.

huwa anaona raha sana damu zetu zikitoka????

kwani akienda mwendo wa kawaida atapungukiwa nn??

usiombe ukutane nahuo msafara yaani uatadhani kuna mashindano ya kukimbiza roketi na kila mara wao wanapata ajali but hawakomi, wanasema usimwombee jirani yak mabaya but mie kwa hili nina mwombea apate ajali ili asikie machungu na maumivu yake yakoje akisha jeruhiwa hatokaa arudie tena kukimbiza magari yao.
 
IT IS HAPPENING NOW;
Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.

My Take;
Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?

Source; Radio Imaan

Ukitumia Helkopta huwezi kupakia ndizi, mihogo na mkaa!!! Si unajua mambo ya shamba lazima ubebe mahanjumati
 
IT IS HAPPENING NOW;
Msafara wa Rais JK amesababisha ajali mbaya sana mitaa ya Visiga - Pwani wakati Bus la Aboud likijitahidi kuupisha na kutumbukia mtaroni. Mh Rais alikuwa anakwenda Msoga (home) kwake ! Majeruhi wapo na wanaendelea kutolewa kwenye Bus na Escort moja ya FFU imebaki kusaidia zoezi la uokozi.

My Take;
Kwanini asiwe anatumia Helkopta ya Polisi ili kuzuia ajali hizi ambazo zinazuilika na kuondoa foleni mjini hasa Dar es Salaam muda anaojiandaa kuondoka ?

Source; Radio Imaan

Tusubiri TUME iundwe na Nchimbi kupendekeza matumizi ya helicopter
 
African presidency tabu tupu, utawala mbovu, misafara ya rais senseless overspeeding.
 
Vyote viwili. Mwendo kasi na msafara wa rais vimesababisha. Lori lililokuwa mbele ya Abood lilipiga breki ya ghafla kwa hofu ya ving'ora vya msafara. Abood likiwa kwenye mwendo kasi ili kukwepa kuuvaa msafara au kuligonga lori kwa nyuma likaona isiwe tabu, likaingia mtaroni. I thank thee O Lord, my darling wife is safe. Haya mambo yasikie kwa wengine. Dah!

Baada ya ajali, Baba Asha kapita zake tu au alisimama!!??, Huko anapoenda kuna umuhimu gani zaidi kuliko wananchi wake/wapiga kura wake waliopata ajali iliyosababishwa na msafara wake!!.
 
uuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiii mke wa asprin.........thaaaaanx lord she iz my mother
 
Baada ya ajali, Baba Asha kapita zake tu au alisimama!!??, Huko anapoenda kuna umuhimu gani zaidi kuliko wananchi wake/wapiga kura wake waliopata ajali iliyosababishwa na msafara wake!!.

Alipita kama hajaona. Ila tunashukuru askari waliokuwa kwenye msafara walisaidia uokoaji, kuwadhibiti vibaka waliokuwa wanataka kupora mali za abiria, na kuwakimbiza majeruhi hospitali ya Tumbi.
 
Back
Top Bottom