Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

Taarifa hii haiwezi kubadili habari mbaya kuwa nzuri. Taarifa ya IFM iko palepale kwamba mdodoro wa Kiuchumi kutokana na SERA MBOVU ZA JPM utaendelea kulitafuna Taifa bila huruma.
Kabadili Sera gani mfano?au kitu gani kipya magufuli amekileta wewe au wenzako wakakosa pesa?
 
Akienda huko Simiyu bora asitoe hotuba, maana hotuba zake zimejaa chuki, jazba na Visasi. Huwa zinakatisha tamaa watanzania wengi.
 
Tanzania ni nchi ya amani sana,huko kwenye mapigano ufanye hivo si ndio kwaheri hiyo. Rais yupo juu,kisha walinzi wapo chini,alafu ubaki salama ......
 
KUMBE NDIO MAANA DARAJA LA KUELEKEA GEITA AMBALO LITAKUWA REFU KAMA LA KIGAMBONI LIMEPEWA UMUHIMU WAKATI ANGALAU KWA SASA KADIRI YA TRAFFIC HIZO FERRY MBILI ZINGETOSHA ...
 
Ikulu
5.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita.
4-MAGU.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Magu mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
2-KISESA.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Kisesa mkoani Mwanza wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.
1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia wakazi wa Nyamikoma Wilayani Busega wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Simiyu kwa ajili ya ufunguzi wa barabara ya Bariadi-Lamadi.



Safi saana!
 
Back
Top Bottom