Msafara wa Rais Magufuli wakati akielekea Simiyu

Waziri mkuu wa Uk ni kama rais kwa Tanzania..Tony Blair analaumiwa kwa invasion ya Iraq sabb prime minister Uk ana nguvu same kwa Germany wana chancellor

Mama yupo right mtu kama Theresa may ilibidi awe na ulinzi mkaliiiii kupitiliza sabb roles zake ni kama rais kwa TZ
 
Alafu Queen naye ni kama nani kama Waziri mkuu ni kama rais
 
May haitaji ulinzi mkali sana, hana hofu na yeyote wenye hofu ndio hujiwekea maulinzi kibao ....

Afrika viongozi wao waoga sana
 
Angalia tu hapo jirani uone Uhuru Kenyatta alivyokuwa huru na Watu wake, wala hahitaji ulinzi toka nchi za nje; ana imani na jeshi lake ndio maana analindwa na waKenya wake!!!
 
Kwahyo kati ya Waziri Mkuu na Queen nani ni Head of State?
Waziri mkuu anaunda sera ya nchi na muelekeo anaoutaka nchi uende na mfumo na maamuzi akiamua leo hii tuivamie Tanzania wanaivamia

Sasa nipe roles za Queen

Sasa uk prime minister ulinzi wake uko hivyo simple tu mtu anaiamua leo hio atoe msaada TZ na Afrika au asitoe sabb yeye ni kiongozi wa serikali

Nenda kasome mifumo ya nchi za UK na UJerumani
 
Mibinafsi huwa naona misafara ya rais wetu inakuwa na magari mengi mno na hii ni hasara kubwa kwa taifa.
 
Tatizo la watanzania, mtu yoyote anayepingana na mamlaka tunamwita mpambanaji na kuwa anatupigania sisi.

Yaani akitokea mwehu na kuhanza kupiga mawe polisi, tutasema anatetea kutokana na uonevu wa polisi.

Akitokea mtu anawaibia matajiri tutasema wamezidi ni mafisida na kuwa jamaa analipiza kwa niaba yetu masikini.

Tunashindwa tofautisha upambanaji kwa ajili yako na upambanaji kwa maslahi binafsi.

Huyu mama utaona, lazima 2020 atataka kugombea uraisi (siyo kosa), anatengeneza mazingira sasa hivi.
 
Waziri mkuu anaunda sera ya nchi na muelekeo anaoutaka nchi uende na mfumo na maamuzi akiamua leo hii tuivamie Tanzania wanaivamia

Sasa nipe roles za Queen

Sasa uk prime minister ulinzi wake uko hivyo simple tu mtu anaiamua leo hio atoe msaada TZ na Afrika au asitoe sabb yeye ni kiongozi wa serikali

Nenda kasome mifumo ya nchi za UK na UJerumani
Msiojua kitu katka Nyanja za Siasa za kimataifa/nje mwe mnakaa kimya itatosha. Rais wa Jamhuri (mf. Tanzania) ni Mkuu wa nchi/dola na Serikali wakati waziri Mkuu (mf. UK au Uholanzi) ni Mkuu wa serikali tu dola/nchi inaongozwa ma malkia/mfalme. Msipende ku-argue bila kusoma, kufahamu na kufanya rejea!
 
Hapa tunasubiri kura ya kumkataa kuiongoza UK
Kwaheri May kama atahukumiwa kwa kura
Sijui kama atatoboa leo labdaaaa
 
Msiojua kitu katka Nyanja za Siasa za kimataifa/nje mwe mnakaa kimya itatosha. Rais wa Jamhuri (mf. Tanzania) ni Mkuu wa nchi/dola na Serikali wakati waziri Mkuu (mf. UK au Uholanzi) ni Mkuu wa serikali tu dola/nchi inaongozwa ma malkia/mfalme. Msipende ku-argue bila kusoma, kufahamu na kufanya rejea!
Asante sana
 
Waziri mkuu wa Uk ni kama rais kwa Tanzania..Tony Blair analaumiwa kwa invasion ya Iraq sabb prime minister Uk ana nguvu same kwa Germany wana chancellor

Mama yupo right mtu kama Theresa may ilibidi awe na ulinzi mkaliiiii kupitiliza sabb roles zake ni kama rais kwa TZ
Hujui unachokisema wewe tulia tu. Msafara huo ungekuwa Wa Teresa May ndo tungesema ana ulinzi kidogo
Waziri mkuu wa Uk ni kama rais kwa Tanzania..Tony Blair analaumiwa kwa invasion ya Iraq sabb prime minister Uk ana nguvu same kwa Germany wana chancellor

Mama yupo right mtu kama Theresa may ilibidi awe na ulinzi mkaliiiii kupitiliza sabb roles zake ni kama rais kwa TZ
Hujui unachokisema wewe. Huo msafara ungekuwa Wa Twr
 
Muwe mnatofautisha mpambanaji na mtu mwenye stress za kukosa mtoto
Hivi wewe unadhania kila mwanamke ambaye hajazaa ana stress za kukosa watoto? mimi nawafahamu wanawake wengi sana ambao hawana watoto lakini wanawalea vizuri sana watoto wa wenzao. lakini nawafahamu pia majike ambao wamezaa, lakini wana roho mbaya sana na wako tayari hata kuua watoto wa wenzao
 
Msiojua kitu katka Nyanja za Siasa za kimataifa/nje mwe mnakaa kimya itatosha. Rais wa Jamhuri (mf. Tanzania) ni Mkuu wa nchi/dola na Serikali wakati waziri Mkuu (mf. UK au Uholanzi) ni Mkuu wa serikali tu dola/nchi inaongozwa ma malkia/mfalme. Msipende ku-argue bila kusoma, kufahamu na kufanya rejea!
lakini hoja yake bado ipo. angeweza pia kuchagua rais wa nchi nyingine za ulaya ambao ni very simple indeed. hawaendeshi mashangingi kama yetu ya bei mbaya wakati ni masikini wa kutupwa. usiwe mtu wa kukariri mno.
 
Namkubali sana huyu mmama

Lakini muda mwingine si vyema kujifanya unajua kila kitu !

Over nyumbu na lumumba mnipishe sina ushirika na nyie
Yes yeye na Yule Sarungi. Anything too much is harmful.
Imetokeaje wanajua kila kitu? Au ndio kujisahau? Vita bila mipango lazima utashindwa. Inakuwa kama vita ya panzi....wanasema furaha ya kunguru
 
Back
Top Bottom