Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Dah huo msafara Madikteta bana Yani hayajiamini popote pale Iwe kwenye sanduku la kura, Uhuru wa habari Na hata misafara.
Nchi kama Russia, ina mafia wengi sana na ukisikia chechnya sio sehemu ya kitoto
wahenga wana misemo ya ajabu sana....