mop
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 867
- 652
Hajui hata maana ya Dikteta bali ndo ile kukaririshwa tuNi nini maana ya dikteta.???
Hajui hata maana ya Dikteta bali ndo ile kukaririshwa tuNi nini maana ya dikteta.???
gollocko
Nimekwandikia kuwa ulizia wanaojua.
Kuuona msafara hakufanyi gari ziwe 10 tu au 100+.
Unajua kila baada ya mtaa wa hizo barabara na njia za kuchepuka kulikuwa na magari mangapi ya wana usalama wa USA na Tanzania!?
Ngoja niishie hapa, nadhani u bado mtoto sana.
Mngese wwTumuongezee muda Rais wetu kipenzi JPM
Huu uchochezi sasaSubiria mapovu yao wanaosema Putin ni dikikteta.
Any way, God Bless, Putin, Bless Russia and Kim Jong-Un as well as North Korea.





Leo umenena mkuu.wameanzisha balaa wao wamejitengaHuko ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
Poise, hii dharau sasagollocko
Nimekwandikia kuwa ulizia wanaojua.
Kuuona msafara hakufanyi gari ziwe 10 tu au 100+.
Unajua kila baada ya mtaa wa hizo barabara na njia za kuchepuka kulikuwa na magari mangapi ya wana usalama wa USA na Tanzania!?
Ngoja niishie hapa, nadhani u bado mtoto sana.
Huu uchochezi sasa![]()
Sasa hizo gari za kwenye barabara za kuchepuka ndio gari zilizokuwa kwenye msafara
Kati ya hizo gari 91 za Putin kuna gari hata moja iliyo onyeshwa ambayo ipo kwenye barabara ya kuchepuka ?
Kiswahili kumbe kigumu kiasi hiki
Kwahiyo unapendekeza kuhusu Raisi wetu.......Huko ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
Mazingira yetu siyo rafiki sana.
Ila huwezi , ukaelewa hadi upigwe nyundo kisogoni ndiyo akili zinakurudi.
Ulicho jibu sicho ulicho ulizwa unategemea nitakuelewa ?
Sawa tumeelewa upo kwenye intelligence community maana ndio ulicho potray kwenye hizo comments zako hapo juu
Dah huo msafara Madikteta bana Yani hayajiamini popote pale Iwe kwenye sanduku la kura, Uhuru wa habari Na hata misafara.