Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Huko ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.
Tumuongezee muda Rais wetu kipenzi JPM
 
stroke ,
Hawatakuelewa.

Ngoja uone mapovu.

Kaandae nguo za kufua maana mapovu watakayotoa siyo ya dunia hii.

Nishaanda vibanio vya nguo kwenye kamba.

Haaa haaaa haaaa.

Afrika tuna demoghasia.
 
Vladimir Putin he not a dictator as many people may say it to be. He has led Russia into a new era of political, economical and social stability. Russia now is not the state that the USA knew after the cold war its super fast, intelligent and economically secured. Its not like the stupid administrations of the so called dictators of Africa. U can't compare the changes Russia has gone through under Putin. Even America now feels insecure with Russia's achievements.

Subiria mapovu yao wanaosema Putin ni dikikteta.

Any way, God Bless, Putin, Bless Russia and Kim Jong-Un as well as North Korea.
 
ukishangaa ya Putini utayaona ya Xi Jinping ana escort na ndege zaidi ya 8 ziarani Pakistan, sijui Tanzania lini tutafikia huku..... Kama maji safi ni shida huku tutabaki tukiona kwenye youtube tu

JF-17s Thunder
873262-ChinesepresidentarrivesinIslamabadonhistoricvisit-1429595489.jpg

Hii htr, bado tunayo safari ndefu sana!
 
Obama alikuja hapa Bongo, sikuona hayo magari 91

Ulizia watu wa uslaam wa Taifa hapo Tanzania hasa waliokuwa Dar es Salaam kipindi hicho kama pana unayemfahamu akueleze.
Vinginevyo usiandike kabisa huwaelewi USA.

Au kasome Google USA President akiwa nje ya USA coverage/ protection anayoipata.
 
Hapo wewe utahangaika kutageti hayo magari ya kifahari kumbe yeye yumo kwenye gofu ya polisi.
 
Ni nini maana ya dikteta.???
Ni mtawala anayelazimisha matakwa yake kinyume na katiba wala sheria za nchi! Hafuati utawala wa sheria! Hahojiwi, hapangiwi, hapingwi, haulizwi, kauli yake ndiyo sheria! Akitamka kitu kilicho kinyume na sheria inabidi sheria ipindishwe ili kuendana na kauli yake, kauli yake ni ya mwisho! Ukipingana naye unapambana na "wasiojulikana", hajali mahakama na hatarajii mahakama kuhoji kauli na matendo yake! Hufurahi sana kuona watu wanamtetemekea na hughadhabika mno kuona MTU au watu hawamtetemekei au wanapinga kauli zake! Hawakubaliani na Uhuru wa vyombo vya habari, hawatarajii watu kusema maovu yake hata kama anajua kuwa watu wanayafahamu! Ukipingana naye atakujibu kwa kukuua kama Mungu asipoingilia kati! Husahau kuwa na wao siku moja watalazimika kufa maana hilo ni fungu la wote! Madikteta wa kiafrika ndo wabaya zaidi! Tuwataje waliokufa tayari (walio hai tunawaogopa kuwataja): Iddi Amin wa Uganda, Mfalme Bokasa wa afrika ya kati, Haile Selase wa Ethiopia, Mobutu Seseseko wa Zaire (DRC) etc
 
Ulizia watu wa uslaam wa Taifa hapo Tanzania hasa waliokuwa Dar es Salaam kipindi hicho kama pana unayemfahamu akueleze.
Vinginevyo usiandike kabisa huwaelewi USA.

Au kasome Google USA President akiwa nje ya USA coverage/ protection anayoipata.
Acha kujitweza basi, nilikuwepo mwenyewe barabara ya Nyerere siku hiyo anawasili bongo, msafara wake hazikufika gari 91
 
Acha kujitweza basi, nilikuwepo mwenyewe barabara ya Nyerere siku hiyo anawasili bongo, msafara wake hazikufika gari 91

gollocko

Nimekwandikia kuwa ulizia wanaojua.

Kuuona msafara hakufanyi gari ziwe 10 tu au 100+.

Unajua kila baada ya mtaa wa hizo barabara na njia za kuchepuka kulikuwa na magari mangapi ya wana usalama wa USA na Tanzania!?

Ngoja niishie hapa, nadhani u bado mtoto sana.
 
Dah huo msafara Madikteta bana Yani hayajiamini popote pale Iwe kwenye sanduku la kura, Uhuru wa habari Na hata misafara.

Chechnya kuna chokochoko sana. lazima putin awe na ulinzi mkali. Putin anaijua sana ulaya na huko maeneo ya urusi ya zamani. THE BEAR DOES NOT ASK FOR A PERMISSION WHAT IT WANTS TO DO
 
Putin, the Richest man on earth right now..( Excluding Royal Families )
 
Putin, the Richest man on earth right now..( Excluding Royal Families)
 
iyo video ni ya mwaka 2012.hali ya mambo ilikuwa bado sio nzuri kule chechnya ndo maana ulinzi ulikuwa mkali sana tofauti ni sasa hata kwa baiskeli anaenda
 
Back
Top Bottom