Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Msafara wa Putin Chechnya Kufuru

Kwahiyo unataka mchungi agombee tena?Russia ni katiba yao German waziri mkuu hana kikomo sasa kwetu kipo wametudanganya nini what about America na Japan nao wamedanganywa?
Waziri Mkuu Germany????????
 
In German politics, the Chancellor is the equivalent of a prime minister in many other countries
Then write Chancellor as many people know the Chancellor not Prime Minister .But remember Germany pia wana Rais
 
Then write Chancellor as many people know the Chancellor not Prime Minister .But remember Germany pia wana Rais
Ni kama prime minister na taarifa nyingi ndio huwa wanatumia hilo neno
 
Ingia wikipedia andika waziri mkuu wa ujerumani uone inaandikwa chancellor(waziri mkuu)
 
FUATIIA HISTORIA VIZURI YA HILO ENEO, UTAFIGURE OUT WHY SO MANY CARS (TIGHT SECURITY)
 
Nimehesabu nikachoka asante we umeamaliza

Asante Mungu kwa kuweka kifo wanetusumbua sana
HAisAIDI kitu AKITOKA HUYO ATAINGIA MWINGINE NGOMA HIVO HIVO.hata kama wa chama kingine. usalama wake ni muhimu awe diktete au asiwe. Akipatwa na janga vuruguu angalia YEMEN imekuwaje
 
Back
Top Bottom