Habari wanajavi?.
Jamani leo nilipokuwa katika pirika pirika zangu za kutafuta ridhiki nilikutana na hii hoja.
MSAFARA WA RAISI UNAPOKUTANA NA GARI LA WAGONJWA, NINANI ANAESTAHILI KUPAKI PEMBENI ILI MWENZAKE APITE?
Samahanini sana ndugu zangu nimependa kutoa hii mada kwa kuamini mahala hapa kunawatu wengi na wenye uelewa mkubwa kuliko mimi na hao jamaa.
Natumai kupata maelekezo mazuri na sisi tujifunze
ahsateni sana