Msafara wa mh. Rais na gari la wagonjwa!!!...

Msafara wa mh. Rais na gari la wagonjwa!!!...

Ambulance itapita hata kama magari yamezuiwa ishatokea dodoma, ambulance ilikuwa inampeleka mgonjwa wa kipindupindu
 
Ndilo lilikuwa swali langu mkuu. Na kama haitazuiwa itakuwaje ikikutana na msafara wa rais??

Asprin, usalama/walinzi wa rais watalilipua na mabomu maana hawawezi kuamini kuwa ni la wagonjwa, labda ni mbinu za kulainisha walinzi na gari la wagonjwa ili wamuue rais. Watalilipua kama halikukaa pembeni kulipisha la Rais. Na haitaishia hapo, watalifuatilia kuona kweli kulikuwa na mgonjwa na kwa nini waliingia barabarani. Polisi wakapata wakati mgumu kueleza kwa vipi gari limeingia barabarani. Kwa nini vinjia vyote havikulindwa na askari
 
Wote wagonjwa ...tezi vs mgonjwa wa kwenye ambulance
 
piga ua abulance haiwez pita kama kuna msafara wa rais kama ni mgonjwa acha afe rais ni kitu kingine uliza dodoma pale raund about ya wimpy zishawah kutana rais anatoka airport abulance inatoka barabara ya kutoka bungeni tena dereva wa ambulance akazima na king,ora aliposikia ving.ora vya polisi so rais is V.I.P kuliko mgonjwa
 
inakuawaje kama hizo route zingine hazipo? nini hufanyika na mgonjwa akifa kwa ambulance kusubiri rais apite ndio nayo ipite inakuwa imekaaje nani kaua trafik au rais maana ukisema lazima rais apite hii maana yake kama ambulance nayo ipo barabarani inapaswa kukaa pembeni. imekaaje hii

Afrika mtu kufa sio habari ya ajabu. So atakufa na itapotea kama habari nyingine
 
Back
Top Bottom