I wish Dar na Moro zingekua kama Mbeya,huko kuna watu wanaojielewa,hawataki kushikiwa akili
Wanatakiwa wasome alama za nyakati
Mbeya CCM haitakiwi kabisa,Mbeya nchi,Sugu rais.
Amekosea sana aisee...angesimama japo kwa saa 1 hivi akawapa neno kidogo wananchi wake...sasa sijui alikuwa na haraka gani...
Ni ishara mbaya sana kwa wananchi. Kiongozi mzuri ni rafiki wa wananchi na kiongozi mbovu ni adui kwa wananchi. Viongozi wengi wa serikali ni maadau zetu zamani tulikuwa tunawaogopa kwa sasa wanatuogopa.
Tbc jana hawakutaka kuonyesha aibu ya Tunduma
Mkuu tbc ni jumuia ya chama hiyo ulikua haujui ilo!angalau itv kidogo uwa hawaegemei upande wowote
Weh, hapo watu wazima watarudi kupiga magoti mbele ya watoto. Mtaka cha uvunguni bana!2015 wawe wanapita kwa mwendo kasi kama hivyo
ITV huwa mara nyingi hawaripoti hiziara za hawa jama
acha uongo kaka..hamna mwananchi aliyekua anataka kusalimiana nae..wote walikua wanaonesha alama ya vdole viwili(CHADEMA)..wengne pale sido walishika kitambaa kikubwa waliprint maneno haya..
"RAIS WETU SUGU,MAKAMU SILINDE"..labda kama upo mbeya nyngine..
Wananchi ndiyo waajiri wa hawa watu...kama wanaona hawapendwi wanatakiwa wajiondoe madarakani mara moja.
2015 wawe wanapita kwa mwendo kasi kama hivyo
Mbeya badilikeni ama viongozi wetu mtakuwa mnawaona wakipita kama wanakimbiza mwenge wa Uhuru au mtawaonea kwenye TVs.