Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 725
- Thread starter
- #21
watakuja kuomba kura na muwape...
Kwa spidi hii, watapishana nazo!
watakuja kuomba kura na muwape...
Aiseee!! Angesimama mbona angejuta,unacheza na bhanyambala nini?
Tbc jana hawakutaka kuonyesha aibu ya Tunduma
Wamepima upepo wameshaona pale hapafai aende tu awahi mazishi ya mama Blandina Nyoni kumuwakilisha musee ya sherehe na misiba!!!
mbeya ni noma.
wanajipalia makaaaa
nGOME YA WATU HIYO!!!!!! WANAWAOGOPA KAMA KIMBUNGA
Asimame halafu mumrushie mawe?Hata mimi ningekuwa yeye sisimami!!
Da nchi ishajuwa ngumu hi
Popoa mawe style!watu wa mbeya ni hatari,hamna staha hata kwa watawala wenu wa nchi,mnawafanya waogope Mbeya kama vile sio sehemu ya Tanzania bhana!
Hah hah Mbeya kwetu si mkyeso,lakini watakuja tu wakati wa kuomba kura na hapo ndipo tutakapowauliza''je waheshimiwa sasa hamuogopi kupopolewa ''
Makamu wa Rais Dk.Mohammed Bilal amepita muda si mrefu eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya akiwa na msafara wake wenye magari kadhaa.
Kilichoshitua watu wengi ni ile kasi ya mbio za mwenge waliyopita nayo bila kujali kwamba wananchi walijipanga kwa wingi barabarani ili waweze kumsalimia kiongozi wao japo kwa kumpungia mkono.
Kasi waliyopita nayo ilipelekea wananchi kadhaa walikuwa katika vikundivikundi wabakiwakijiluiza kulikoni? Wengine walikwenda mbali zaidi na kudai "ameshauriwa na viongozi wa CCM kwamba eneo hilo ni hatari hivyo wapite kwa spidi kali kama vile wanakimbiza mwenge kwa hofu ya kupopolewa?"
tatizo la viongozi wa Serikali ya CCM, wanachanganya UCCM na shughuli za serikali na wanachi wa sasa sio wa miaka ya 2000 na kurudi nyuma....
Jamani, watawala wabadilike, bila kubadili style ya kuwa grade watanzania tutashuhudia mengi zaidi ya haya. Sasa ni mbeya, kesho utakuta tabora inaogopeka.
Hapo Mwanjelwa hamtabiriki; miaka kadhaa iliyopita JK alopopolewa hapo, halafu haya manung'uniko ya wabunge wenu wanougua maradhi ya kawaida kudai wamenyweshwa sumu
Mkuu, kilichotokea ni kwamba asubuhi ziliwekwa bendera za CCM barabarani maeneo hayo. Lakini vijana wanaodhaniwa ni wa CDM waliziondoa. Hiyo ikawa chanzo cha hofu kwamba labda wamedhamiria kufanya ndivyo sivyo: chanzo cha spidi wakati wa kurudi!
watakuja kuomba kura na muwape...