Msafara wa makamu wa rais dk gharib bilal wapata ajari dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msafara wa makamu wa rais dk gharib bilal wapata ajari dar.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BOKO HAARAM, Nov 10, 2011.

 1. B

  BOKO HAARAM Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zinasema msafara wa makamu wa raisi dk gharib bilal,umepata ajari jijini dar leo baada ya gari iliyo kuwa ikiendeshwa na mama mmoja aliye kuwa akinywa maji ya dafu(nazi changa) kuuingilia ghafla na kumgöga trafik aliye kuwa anaendesha piki piki iliyo kuwa inaongoza msafara huo,mpaka muda napost taarifa hii trafik amepelekwa hospitali kupata matibabu na huyo mama aliye sababisha ajari yupo mbaroni pale kituo cha police salenda.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  ajari = ajali
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  hajafa huyo makamu
   
 4. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  Laana zitawaua mwaka huu.
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna mchunga ngo'mbe mmoja pale bagamoyo aliingilia msafara wa jk alipata kipigo mpaka akafia muhimbili sijui kitakachomfika huyu mama.
   
 6. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kwasababu ni ajali natoa pole kwa wahusika wote na familia zao
   
 7. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  nimeipenda hii mkuu!!!
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wafe tuwazike tu.
   
 9. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  pamoja mkuu, Mungu mwenyewe hapendi ujambazi wanaotufanyia.
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Wamekufa wangapi? Wangepungua kidogo maana sijawahi kuona serikali yenye makamu watatu wa rais na mawaziri waziri wakuu kibao
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nilifikiri bilal kaumia kumbe mwangalia ajali ndio kapata dhahama hiyo..
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Udereva wetu wa kibishoo siku hizi! Mtu unakunywa maji ya dafu huku unaendesha kweli utakuwa makini? Leo ni Makamu siku nyengine angekuwa ni dereva mwengine au mtu anavuka barabara.

  Wengine utaona wanaandika message kwenye simu huku wanaendesha, nimeshaiona hiyo kabisa barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  si vema kumuombea binadamu mwenzako mabaya hata kama anakukera vipi.

  Napenda kumpa pole huyo trafiki.
   
Loading...