Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Acha kubisha mkuu, hapakuwa na Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu.
Unapelekewa moto huko chini?
CCM mbona mnazidi kutuchukiza watanzania? Hao polisi no Wa serikali magufuli Wa ccm kama in uwaziri hana hadhi ya hiyo misafara tusije tukalaumiana baada ya oktoba
Kama ungetazama taarifa ya habari TBC one ungeona kuwa magufuri alikuwa na bilali pamoja na mkuu wa mkoa wa Arusha.
Hayo mengine ni ushabiki tu wa kisiasa, na magufuri alikuwa huko kwa ziara ya kiserikali kama waziri wa ujenzi na sio kama mgombea urais wa ccm.
Hivi Lowasa anamatumaini ya kushinda???
Waziri!!!!!!!
Hivi TANZANIA tuna mawaziri ambao sio wabunge?
Kipindi cha ubunge kimeshaisha baada ya bunge kuvunjwa sasa huyo Magufuli amepata wapi uwaziri kwa wakati huu amba wabunge wote wanaomba upya ridhaa?.
Tatizo la hii nchi ni mfumo mbovu wa CCM.
Novemba CCM tupa kule na mfumo wake wa kichawi.
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Leo jioni mida ya Saa kumi jioni nikiwa hapa Usa River, ulipita msafara mkubwa wa Waziri wa Ujenzi Ndugu Magufuli akiwa na escort nzito kama vile tayari ni Rais akisindikizwa kwa ving'ora na difenda na pikipiki za polisi.
Katika Msafara huo alikuwepo pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha pamoja na Manyara na RPC wa Arusha na magari mengine kama 20 ya serikali.
Nauliza, hivi inaruhusiwa kwa mgombea Urais kupewa escort nzito kiasi hiko pamoja na msafara kiasi cha kutokaa foleni au ndio matumizi mabaya ya madaraka.?
Nina mashaka na ubongo wako, kichwa chako kinapitisha upepo bila shaka
nenda kale malimao
Kama uliona hayo hayakua yakimuhusu Pombe..
Hio ilikua kwaniaba ya makamu wa rais...
Achakuropoka....
Inaruhusiwa ndiyo maana ukaona.
Isitoshe, kumbuka huyo ndiyo Rais wa awamu ya tano.