kimeta cha ufisadi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 398
- 70
Daah bahati yenu nilitaka mfe wote kabisa, nimebishana sana na shetani wenu na mwisho amefanikiwa kuwanusuru
asante kwa taarifa mkuu mungu awajalie wapate kupona maana ccm ndo kimbilio saiz chadema hawana kitu wao wanafukuzana ccm tunakagua utekelezaji wa sera za chama
ccm oyee

Utaanza kufa wewe na wazai wako kabla ya hao unaowaombea hawajafa.Daah bahati yenu nilitaka mfe wote kabisa, nimebishana sana na shetani wenu na mwisho amefanikiwa kuwanusuru
Daah bahati yenu nilitaka mfe wote kabisa, nimebishana sana na shetani wenu na mwisho amefanikiwa kuwanusuru
Gari la katibu wa mkoa wa Mbeya limepata Ajali watu wamejeruhiwa ila tunamshukuru Mungu kwani hakuna aliye fariki. Majeruhi wote wamelazwa ktk hospitali teule ya Mwambani Mkwajuni Chunya. Nipo eneo la tukio.
Ccm ni jangwa la taifa poleni magamba teteeni watanzania wacheni vuvuzela
Siyo kina Chenge na Lowassa??!Wapone haraka machadema walikuwa tumbo joto. Katibu mkuu fanya mambo tusafishe mafisadi kama kina mbowe