Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa umepata Ajali mbaya eneo la Saza Chunya.

kimeta cha ufisadi

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
398
70
Gari la katibu wa mkoa wa Mbeya limepata Ajali watu wamejeruhiwa ila tunamshukuru Mungu kwani hakuna aliyefariki. Majeruhi mmoja amelazwa ktk hospitali teule ya Mwambani Mkwajuni Chunya.

Katibu Mkuu wa chama Taifa, Kinana hajadhurika katika ajali hii.

Nipo eneo la tukio.
 
asante kwa taarifa mkuu mungu awajalie wapate kupona maana ccm ndo kimbilio saiz chadema hawana kitu wao wanafukuzana ccm tunakagua utekelezaji wa sera za chama
ccm oyee
 
Taarifa yako mbona inatofautiana.kichwa cha habar kina sema ni katibu mkuu wa ccm taifa,maelezo ni katibu wa mkoa...tukueleweje? Then wangekufa tu tumechoka.....
 
Hiyo gari iliyopata ajali ilikuwa umbali gani kutoka gari ya kinana, nini kilikuwa chanzo cha ajali, isijekuwa magurudumu manake heri tngekuwa na general tire yetu.

poleni majeruhi. mpone haraka.
 
Daah bahati yenu nilitaka mfe wote kabisa, nimebishana sana na shetani wenu na mwisho amefanikiwa kuwanusuru
 
vpi ndo wamesababisha barabara iwe mbovu na isijengwe miaka yote ya nyuma kwa kiwango cha rami au wa zuia bunge lisiidhinishe ujenzi wa barabara hiyo au inawapereka puta mawazo mpaka njia hamuioni safii
 
asante kwa taarifa mkuu mungu awajalie wapate kupona maana ccm ndo kimbilio saiz chadema hawana kitu wao wanafukuzana ccm tunakagua utekelezaji wa sera za chama
ccm oyee

Haha..kumbe uliwahi itegemea CDM?Sasa uliacha kwanini...au baada ya CCM kukufungulia kamrija?Au kwa vile Zitto kaonyeshwa mlango unaohitajika kufungwa kwa nje?
 
Daah bahati yenu nilitaka mfe wote kabisa, nimebishana sana na shetani wenu na mwisho amefanikiwa kuwanusuru

una dhalilisha jina la nyerere
nlidhani We ni mtu katika chadema kumbe tahira tu si bora utumie feki name kunya uharo unaoharisha kwenye thread kuliko kutumia verified name
hata viongoz wa juu chadema wakijua unachofanya hawatakusaport
tuna expect wewe uwe mfano wa kuigwa kuna time ya politics but kuna time to put politics aside and share the humanity which u lack
we unafikir kesho ukifa mungu atakupa award ya the best opponent politician from Tanzania?
think big and think outside th box
 
Siasa zinafanya tunachukiana hivi!!?

Si haki kutakiana kifo ndugu, kila mtu ana haki ya kuishi. Kama kosa ni kuwa CCM/CDM nk basi kuna ndugu zetu wengi wamo ndani ya vyama husika kama baba, mama, wajomba, shangazi, marafiki nk.

Tupendane.
Tusiogope changamoto za kisiasa na kupoteza utu.
 
Wapone haraka machadema walikuwa tumbo joto. Katibu mkuu fanya mambo tusafishe mafisadi kama kina mbowe
 
Gari la katibu wa mkoa wa Mbeya limepata Ajali watu wamejeruhiwa ila tunamshukuru Mungu kwani hakuna aliye fariki. Majeruhi wote wamelazwa ktk hospitali teule ya Mwambani Mkwajuni Chunya. Nipo eneo la tukio.

Hospital hiyo naijua HAIJAWAHI kuwa na dawa wala vifaa bora,sasa hao majeruhi mmewapa madawa ya miti shamba na yale maji ya matope na vyura tuliyozoea kunywa Chunya?

Nakumbuka Naibu Waziri wa zamani Mudhihiri alikatwa mkono kwa kukosa matibabu mapema alipo pata ajali kule kusini!Kwa ufinyu wa huduma za jamii tunazopewa,anayeishabikia CCM lzm atakuwa MCHAWI
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom