Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

Sijui mikoa ya pwani ikoje,nimepita jana naona mitaa mingi zikipeperusha bendera za ccm!sijaelewa watafunguka akili lini hawa watu!?
 
Wakuu, kwa sasa ukiwa CCM unakuwa sawa na mtu aliyejipaka M.A.VI

sio unakuwa sawa na mtu aliyejipaka mavi, unakiwa kinyesi kabisa....yani ukiweka kinyesi hapa, na ccm member akikaa pembeni wote sawa kabisa.
 
Sijui mikoa ya pwani ikoje,nimepita jana naona mitaa mingi zikipeperusha bendera za ccm!sijaelewa watafunguka akili lini hawa watu!?

Mkuu Heshima Kwako!!!

Mkuu! Huku mikoa ya pwani si unaijua? Jinsi walivyo legelege wasio penda kujituma ndivyo wanavyo taka serikali legelege isiyo weza kujituma. Wamelemee na hulka za kuomba omba kama serikali yao mkuu.

Mkuu! Hebu fikiria jinsi watu wa huko bara wanavyo pigana na mikikimikiki ya maisha ya kila siku, na mwisho wa siku hawaoni matunda stahili! Si rahisi kukumbatia ushenzi wa hii serikali ya MAGAMBA.

UKOMBOZI WA KWELI UTAANZIA BARA MKUU!!!! Kumbuka Mtemi Mirambo, Chifu Mkwawa na wengineo.

Nawasilisha
 
Safi sanaaa.! Ingekuwa kila ccm inapoonekana inapigwa mawe tungefika mbali
 
Juzi waziri wa mambo ya ndani(Nahodha) msafara wake ulipigwa mawe tunduma, jana tarehe 4/2/12 barabara ya mbeya mjini kwa zaidi ya nusu saa hakuna gari iliyoruhusiwa kuingia barabara kuu kupisha msafara wa NAHODHA akitokea kyela kisa wanaogopa kufanyia fujo na vijana.
 

Ha ha ha ha ha ha ha! Mimi mwenyewe mwanangu wa miaka minne juzi kamrushia jiwe Balozi wa nyumba kumi wa CCM tena akimwita fisadi akaja kulalamika kwangu. Nikamwambia ampeleke polisi. Mpaka leo sijamuona akija na polisi!

Mkuu unatisha! Yaani hata dogo wa four years! Nimechelewa kumbe.
 
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe,nyanya,bamia,ndizi,viazi,na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni
Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga,akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM
Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano

Hakuna dawa nyingine ya kuonyesha hasira zetu, wanatudharau sana na sisi lazima tuonyeshe hisia zetu. Tupambane wote kila pande ili ujumbe wetu ufike, na wabunge wajue ya kuwa wananchi tumekasirika. Walikuwa wanasema msumbufu ni Rais sasa Rais Kikwete kawaonysha njia, wao wanajifanya mioyo yao migumu wacha wanyeshewe mvua ya mawe.
 

Ha ha ha ha ha ha ha! Mimi mwenyewe mwanangu wa miaka minne juzi kamrushia jiwe Balozi wa nyumba kumi wa CCM tena akimwita fisadi akaja kulalamika kwangu. Nikamwambia ampeleke polisi. Mpaka leo sijamuona akija na polisi!

Kama ni ukweli unachosema then ndugu yangu una matatizo makubwa sana. Kitendo cha wewe kama baba (mzazi) kushabikia mtoto wako kumpiga mawe mtu mzima, yeyote yule bila kujali chama, dini au itikadi ni ukosefu wa maadili (morals) kwa upande wako. Kama hiki ndicho kizazi cha leo, naisikitikia Tanzania yangu niliyokuwa naijua. Wanawarithisha nini watoto wao wa kesho kutwa? Nchi imekwisha.
 
Tunakoelekea ni kubaya sana. Leo nilikuwa naangalia kipindi cha Tuongee Asubuhi cha STAR TV, kuhusu Miaka 35 ya CCM, Mwanangu akaniambia baba zima TV zima TV. Nikamwuliza kwa nini? akaniambia huoni ni akina NAPE?
nikamwuliza kwani Nape anashida gani? akaniambia siwapendi kabisa hao Magamba!

jesus!! wamiaka mingapi huyo mwanao?
 
:yawn: aaa hhhhaaaa hhhhaaaa haaaaa......... Time is now. mdogo mdogo tutafika. viva wadai haki na ukombozi wa kifikra wa Arusha . tupo pamoja tunawaombea kwa Mungu wa kweli asiyependa uonevu wala unyonyaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom