Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

sio unakuwa sawa na mtu aliyejipaka mavi, unakiwa kinyesi kabisa....yani ukiweka kinyesi hapa, na ccm member akikaa pembeni wote sawa kabisa.

kinyesi na wao ni kitu ki1 ntalifanyia uchunguzi
 
Mkuu Heshima Kwako!!!

Mkuu! Huku mikoa ya pwani si unaijua? Jinsi walivyo legelege wasio penda kujituma ndivyo wanavyo taka serikali legelege isiyo weza kujituma. Wamelemee na hulka za kuomba omba kama serikali yao mkuu.

Mkuu! Hebu fikiria jinsi watu wa huko bara wanavyo pigana na mikikimikiki ya maisha ya kila siku, na mwisho wa siku hawaoni matunda stahili! Si rahisi kukumbatia ushenzi wa hii serikali ya MAGAMBA.

UKOMBOZI WA KWELI UTAANZIA BARA MKUU!!!! Kumbuka Mtemi Mirambo, Chifu Mkwawa na wengineo.

Nawasilisha

Your so so corect
 
Kama ni ukweli unachosema then ndugu yangu una matatizo makubwa sana. Kitendo cha wewe kama baba (mzazi) kushabikia mtoto wako kumpiga mawe mtu mzima, yeyote yule bila kujali chama, dini au itikadi ni ukosefu wa maadili (morals) kwa upande wako. Kama hiki ndicho kizazi cha leo, naisikitikia Tanzania yangu niliyokuwa naijua. Wanawarithisha nini watoto wao wa kesho kutwa? Nchi imekwisha.

Mkuu Mimi sijashabikia Mtoto wangu kumpiga Jiwe balozi wa CCM. Nilisikitika sana na ndiyo maana nilimwambia Balozi ampeleke mwanangu Polisi nashangaa akamgwaya Mtoto wangu wa Miaka minne tu! Sasa ulitaka nifanyeje?
 
Mbeya na Arusha hivi wananchi wa huko ni mapacha?dar mko wapi?huko ndo mko jikoni tulitegemea ndo muwe vinara wa kupopoa viongozi wakitimia rasilimali vibaya
 
Mkuu Mimi sijashabikia Mtoto wangu kumpiga Jiwe balozi wa CCM. Nilisikitika sana na ndiyo maana nilimwambia Balozi ampeleke mwanangu Polisi nashangaa akamgwaya Mtoto wangu wa Miaka minne tu! Sasa ulitaka nifanyeje?

Anataka umfundishe mtoto maadili wakati una njaa na mtoto ana njaa? Wacha wapigwe mawe shenzi yao! For his information, he has to notice that we are heading to transitional period, ambapo baadhi tutaingia msituni kudai haki. Haki kwanza maadili baadaye. Watu tuache upumbavu wa kufikiria kwa mazoea.
 
Mwanao kaamka mapema sana namtabiria atakuja kuwa mwanaharakati

Na ndivyo anavyoonekana kwa sababu akiskia tu CHADEMA wana mkutano maeneo ya hapa nyumbani lazima aniambie na ananibana tukaskilize. Na anapenda sana kuangalia mkanda wa Sarafina wa South Afrika na kuimba nyimbo za ukombozi! Nina kalenda pia ya CHADEMA nyumbani, huwa anaiangalia na kuniambia nimnunulie nguo kama ya Mbowe (Gwanda).
 
Kwa Mwanza imekuwa ngumu kurusha hata jiwe watu wenyewe wametolewa mbali vijijini wamechoka na wanatia huruma sana

kweli mkuu-wale wametolewa wilayani na vijijini na maroli hawajui hata huku mjini kuna nini kinachoendelea
 
Anataka umfundishe mtoto maadili wakati una njaa na mtoto ana njaa? Wacha wapigwe mawe shenzi yao! For his information, he has to notice that we are heading to transitional period, ambapo baadhi tutaingia msituni kudai haki. Haki kwanza maadili baadaye. Watu tuache upumbavu wa kufikiria kwa mazoea.

Mkuu Mungi, tunashukuru sana kwa maelezo yako! Mesage sent and delivered!

Kama ni ukweli unachosema then ndugu yangu una matatizo makubwa sana. Kitendo cha wewe kama baba (mzazi) kushabikia mtoto wako kumpiga mawe mtu mzima, yeyote yule bila kujali chama, dini au itikadi ni ukosefu wa maadili (morals) kwa upande wako. Kama hiki ndicho kizazi cha leo, naisikitikia Tanzania yangu niliyokuwa naijua. Wanawarithisha nini watoto wao wa kesho kutwa? Nchi imekwisha.

nidhamu ya uoga haifa dogo kajua hao ni watu wabaya na hawafai, sasa unataka kumuadhibu kwa kupinga ubaya?, labda tu amwonyeshe njia nyingine zaidi ya kumpinga,
 
Ha ha ha ha ha ha ha! Mimi mwenyewe mwanangu wa miaka minne juzi kamrushia jiwe Balozi wa nyumba kumi wa CCM tena akimwita fisadi akaja kulalamika kwangu. Nikamwambia ampeleke polisi. Mpaka leo sijamuona akija na polisi!

Futuhi wa JF.
 
Kama ni ukweli unachosema then ndugu yangu una matatizo makubwa sana. Kitendo cha wewe kama baba (mzazi) kushabikia mtoto wako kumpiga mawe mtu mzima, yeyote yule bila kujali chama, dini au itikadi ni ukosefu wa maadili (morals) kwa upande wako. Kama hiki ndicho kizazi cha leo, naisikitikia Tanzania yangu niliyokuwa naijua. Wanawarithisha nini watoto wao wa kesho kutwa? Nchi imekwisha.
Tafakari mkuu sina muda na wala siwezi hata siku moja kumfundisha mwanangu kuheshimu jitu kupe,jitu fisadi dawa yake ni kumfundisha mtoto kulipiga mawe sana sana manati ndo nzuri,kwani matendo ya mfisadi waliojazana huko CCM hujui impact kwa watoto wetu,hao ni wa kufundisha wanetu kuwabeza,kuwadharau na kuwapiga manati tu.
 
Nina MASHAKA KWA SABABU;
  • MARA YA KWANZA TULIAMBIWA HUYO MKUU WA MKOA APIGWA NA NYANYA - HAKUCHUKUA HATUA
  • MARA YA PILI ALUMWAGIWA MAJI MACHAFU - HAKUCHUKUA HATUA
  • LEO TENA KAPIGAW - THE SAME MESUASURES
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom