Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Leo katika soko la Kilombero Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazoro Amefanya ziara ya Kushtukiza na amezungumza na wafanya biashara wa sokoni hapo na wamemweleza kero mbalimbali ambazo wanazo na amewahaidi atazishugulikia mapema sana.
Tukumbuke meya wa Arusha ni mtu wa kujituma sana na nimtu anasimamia anachokisema