Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

Dar siku zote huwa ya mwisho halafu inapata credit, dar inabidi kujiangalia upya, tunahitaji mwamko mpya kwa watu wa dar maana ndio wasiojua kuwa nchi inahitaji mabadiliko

Lakini lazima tuwe na angalizo, siku dar ikilipuka CCM imetoka madarakani maana hapa kunabomu la vijana linafukuta
 
pale sokoni kamwe hapawezi kuwa na mtu mwenye akiri

wewe ndie mwenye akiri au akili?
ukiufa sanda viroba=akiri!
kukalia mawe darasani=akiri!
hospitali hazina dawa=akiri!
mfumuko wa bei=akiri=akiri!
..........!
daah una akiriiii kwa sana!
 
Kama ni ukweli unachosema then ndugu yangu una matatizo makubwa sana. Kitendo cha wewe kama baba (mzazi) kushabikia mtoto wako kumpiga mawe mtu mzima, yeyote yule bila kujali chama, dini au itikadi ni ukosefu wa maadili (morals) kwa upande wako. Kama hiki ndicho kizazi cha leo, naisikitikia Tanzania yangu niliyokuwa naijua. Wanawarithisha nini watoto wao wa kesho kutwa? Nchi imekwisha.

Hata watoto wa miezi 5 wamechoka na kauli yenu, zidumu fikra za mwenyekiti. Kidumu chama cha majambazi. Tumechokaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! jamani shida mnayotupa CCM hatutaki kuambukiza vizazi vyetu. Tunataka kizazi cha kufanya kazi sio utapeli na udalali.
 
safi sana watoto na vijana wa Arusha ! lazima kuwalazimisha mafisadi kuamini kuwa watu tumejua wizi wao
 
Hata watoto wa miezi 5 wamechoka na kauli yenu, zidumu fikra za mwenyekiti. Kidumu chama cha majambazi. Tumechokaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!! jamani shida mnayotupa CCM hatutaki kuambukiza vizazi vyetu. Tunataka kizazi cha kufanya kazi sio utapeli na udalali.

Najua wote tumechoka na hiki chama lakini haina maana kuwa tukiuke maadili ya malezi bora. Tukilea kizazi cha namna ambayo haitakuwa na maadili, hata huyo atakayechukua baada ya kumtoa CCM atashindwa. Tutayarishe kizazi chenye maadili na mtizamo chanya ili kusaidia nchi hapo kesho.

Huyo mtoto wa miaka minne anayempiga balozi mawe halafu baba yake anashabikia atakuwa na miaka 24 miongo miwili ijayo. Hicho ni kizazi cha ujana tunaotegemea kuwapa usukani wa kuendesha nchi. Kama malezi ndiyo hayo, unategemea kutakuwa na taifa la namna gani?
 
Ukiwa upo CCM wewe ni adui namba moja wa kizazi chako,mana CCM ni chama cha majambazi na mafisadi.
 
Hi ndo njia pekee kwa sababu tunaona kila wanaloambiwa hawasikii kwa hiyo sasa ni kupiga tu
 
Wakuu,nipo Eneo la Shoprite hapa Arusha,naona msafara wa viongozi mbalimbali wa ccm,akiwepo RC wa Arusha,wanapita sokoni kilombero,ndipo soko lote likalipuka na kuanza kuwashambulia,kwa mawe,nyanya,bamia,ndizi,viazi,na kila aina ya silaha inayopatikana sokoni
Nimemwuliza kijana mmoja hapa kwa nini wanawapiga,akajibu kuwa serikali imelegalega sana,badala ya RC kushughulikia matatizo yao yupo bize na maandamano ya CCM
Polisi wametuliza kidogo na msafara unaelekea mbauda kwa mkutano

Ningetamani watanzania wote waamke kama hivyo tungefanya mapinduzi mazuri sana
 

Ha ha ha ha ha ha ha! Mimi mwenyewe mwanangu wa miaka minne juzi kamrushia jiwe Balozi wa nyumba kumi wa CCM tena akimwita fisadi akaja kulalamika kwangu. Nikamwambia ampeleke polisi. Mpaka leo sijamuona akija na polisi!

Mwanao kaamka mapema sana namtabiria atakuja kuwa mwanaharakati
 
Hivi huko mwanza leo mnaangalia kama hawatumii magari yetu(serikali)? Maana kwa kipindi hiki kilichobaki kufika 2015 inabidi wananchi tulinde mali ya umma kwa kupambana na wale wanaoitumia vibaya kama walivyofanya huko mbeya.
 
Tunakoelekea ni kubaya sana. Leo nilikuwa naangalia kipindi cha Tuongee Asubuhi cha STAR TV, kuhusu Miaka 35 ya CCM, Mwanangu akaniambia baba zima TV zima TV. Nikamwuliza kwa nini? akaniambia huoni ni akina NAPE?
nikamwuliza kwani Nape anashida gani? akaniambia siwapendi kabisa hao Magamba!

Hii inaonyesha vijana wa leo tukishindwa kuing'oa ccma madarakani bado tuna mwanya wa kuinvest kwa watoto wetu wakajakuing'oa kiuraisi kabisa
 
Sijui mikoa ya pwani ikoje,nimepita jana naona mitaa mingi zikipeperusha bendera za ccm!sijaelewa watafunguka akili lini hawa watu!?

Ndo maana walio wengi ni masikini? Ccm sasa wanawasaka wajinga kwani ndo waraisi kudanganywa na pilao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom