Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

Chadema nacho chama?. Hiyo ni saccos ya mjasiriamali Mbowe , inayotamani kupata ridhaa kwa watanzania. Mungu yupo, na hatakubali nchi hii iangukie mikononi mwa walamba asali.
Acha kumtaja Mungu pasipostahili
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Hoja hapa ni kwamba, magari ya bei kubwa ma v8 na misururu mirefu ya ziara za viongozi wa SERIKALI yanaongeza gharama za serikali na kusababisha wananchi kuendelea kuongezewa kodi ili kugharamia matumizi hayo!

Sasa Chadema hata wakiwa na msururu wa magari 1000, watakuja kukutoza kodi ili kuyajaza mafuta?
 
Unaongelea wingi wa viongozi wa chama cha siasa CHADEMA kukutanika au wingi wa magari yao au wingi wa magari ya chama chao au wingi wa magari ya serikali au kitu gani??!

Usiwe kama mbegu za papai....unanata na kuteleza kwa wakati mmoja, utagongwa
Mtu mjinga kama wewe unayeinamishwa utaelewa kweli? Endelea kugawa uroda ndicho unachoweza!
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
utakua umevuta ya basutu.

chadema wana watu ila hawana serikali.

arusha syo shinyanga wala lindi.
arusha ina watu wenye uelewa mkubwa na wanajitolea wenyewe kuingia ktk msafara
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Picha
 
Kwani umewahi kuona wa yule kondakta🤓
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Nani ana nafuu kati ya mwenezi wa chama chetu na CDM
 
Msafara wa Mbowe haupungui gari ishirini za nguvu. Tunatarajia chama chetu kiwe mfano wa kubana matumizi, lakini hali halisi ni tofauti.

Sasa tukiingia madarakani itakuwaje? Sitashangaa tutakuwa na msafara wa gari hamsini au zaidi, wananchi wataendelea kuumia.
Kwani wewe ni Mwakipande?,hapo hakuna cent moja ya kodi yako iliyotumika, kabla ya kulalama na kodi zetu zinazozomesha watoto wa royal families ili waje kuendeleza status ago zao, unakuja na uongo huu, tezi dume ni small op pale Mwananyamala hosp ILA mtu anakwenda USA na wapambe kibao kwa kodi zetu
 
Back
Top Bottom